Mke aua mume kwa kumchoma kisu shingoni
Mwanamke wa Kijiji cha Nyamatoke wilayani Serengeti, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma ya kumuua mume wake kutokana na wivu wa mapenzi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo17 Jul
Mume aua mke kwa kisu
WATU watano wamekufa mkoani Rukwa katika matukio tofauti, akiwemo Silvia Patrick aliyeuawa na mumewe kwa kuchomwa kisu kifuani kutokana na wivu wa mapenzi. Joseph Dominick (33) baada ya kumuua mkewe huyo mwenye miaka 26, alijaribu kujiua kwa kujichoma kisu tumboni, lakini hakufa na amelazwa katika Kituo cha Afya cha Kamasamba wilayani Momba mkoani Mbeya akiwa chini ya ulinzi.
11 years ago
Habarileo13 Mar
Mke aua mume kwa kumvunja shingo
MWANAMKE Etina Silumba (44) mkazi wa kijiji cha Mpemba wilayani Momba anashikiliwa na polisi mkoani Mbeya, kwa tuhuma za kumuua mumewe.
10 years ago
Tanzania Daima03 Oct
Mume aua mke kwa wivu wa mapenzi
NEEMA Sanga (33), mkazi wa Mngeta wilayani Kilombero mkoani hapa, ameuwawa nyumbani kwake kwa kucharangwa mapanga na anayedaiwa kuwa mumewe, Laurian Labani, kwa wivu wa mapenzi. Akizungumza na Waandishi wa...
10 years ago
Tanzania Daima10 Oct
Mume aua mke na kutoweka
MWILI wa mwanamke aliyefamika kwa jina la Ekanga Michael (30), umekutwa korongoni maeneo ya Mwanga Vamia karibu na kambi ya jeshi, Manispaa ya Kigoma Ujiji ikidaiwa kuuawa na mumewe. Akifafanua...
10 years ago
Mwananchi30 Dec
Mume auawa kwa kisu na hawara wa mkewe
10 years ago
Dewji Blog14 Jan
Aua mke kwa rungu akimtuhumu kuchepuka
Kamanda wa polisi wa mkoa, Kamishina Msaidizi, ACP. Thobias Sedoyeka akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake (hawapo pichani).
Na Nathaniel Limu, Singida
WATU wawili wamekufa mkoani Singida katika matukio tofauti yaliyotokea mwishoni mwa wiki, likiwemo la mwanamke mmoja kupigwa na rungu na mumewe kutokana na kile kinachodhaniwa kuwa ni wivu wa mapenzi.
Kamanda wa polisi wa mkoa, Kamishina Msaidizi Thobias Sedoyeka alisema kuwa tukio la kwanza lililotokea kijiji cha Songambele kata...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-jghSAoaiV1c/XuIQRabHtSI/AAAAAAAEHtc/kwnAXqNNHMAfQ6EZ2ungU1nHhta824akACLcBGAsYHQ/s72-c/KAMA.jpg)
Aua wakwe zake (mme na mke) kwa tuhuma za ushirikina
Aua wakwe zake (mme na mke) kwa tuhuma za ushirikina
Na Amiri kilagalila,Njombe
Kijana aliyejulikana kwa jina la Patrick Ngailo mkazi wa Mlangali wilayani Ludewa mkoani Njombe,anashikiliwa na jeshi la Polisi kwa tuhuma za mauaji ya wakwe zake (mme na mke) akiwatuhumu ni washirikina wanaomsababishia maradhi ya mara kwa mara.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe Hamis Issa amesema kijana huyo alitenda kosa hilo katika kijijji hicho June 8,2020 majira ya saa moja jioni lakini wananchi kwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Vlz-VcMBEumUMHVM8iFKXou93GQwqIeb4rqm7FwKyiWF5nsSPM4XFo0nndnXfV4tvZK40yhAOqOfMR8CCEJDnbybOD058MPC/sea.jpg?width=650)
PART III YA ADEBAYOR: KAKA ZANGU WALINIWEKEA KISU SHINGONI KISA FEDHA NA NIMEJARIBU MARA KADHAA KUTAKA KUJIUA
10 years ago
Mwananchi05 Jun
MUME KWA MKE TAJIRI