Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walinzi wa rais wakataa kusalimu silaha B Faso

Juhudi za kukipokonya silaha kikosi cha walinzi wa rais wa Burkina Faso kilichosalimu mamlaka wiki iliopita baada ya kufanya mapinduzi zimekwama kulingana na mkuu wa majeshi nchini humo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Walinzi wa rais Burkina Faso wasalimu amri

Viongozi waliopindua serikali nchini Burkina Faso wamekubali kurejesha madaraka kwa serikali ya kiraia na kurejea kwenye kambi zao.

 

9 years ago

Mwananchi

Burundi wakataa walinzi wa AU

Bujumbura, Burundi. Bunge la Burundi limepinga mpango wa Umoja wa Afrika (AU) wa kupeleka walinzi wa amani nchini humo kudhibiti machafuko yanayoendelea kutokea na raia kuuawa na wengine kukimbia nchi yao. Spika wa Bunge la Burundi, Paschal Nyabenda , alisema majadiliano hayo yalilenga kuonyesha hakuna haja ya kutuma kikosi kwa sababu hakuna mauaji ya kikabila nchini humo. Bunge hilo limethibitisha kulikuwa na mauaji tangu Aprili na Pierre Nkurunziza kutangaza kutetea urais kwa awamu ya tatu...

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Mugabe atimua walinzi wake 27 baada ya kuanguka

>Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amewasimamisha kazi walinzi wake 27 ikiwa ni siku chache baada ya kuanguka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Harare wakati akirejea nyumbani akitokea Addis Ababa, Ethiopia.

 

5 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa Marekani 2020: Walinzi wa rais wajitenga baada ya mkutano wa Trump

Walinzi kadhaa wa rais Donald Trump wametakiwa kujitenga baada ya wawili kati yao waliokuwa katika mkutano wa kisiasa wa Donald Trump huko Tulsa Jumapili kupata maambukizi ya virusi vya corona.

 

10 years ago

GPL

RAIS WA BURKINA FASO AJIUZULU

Rais Blaise Compaore aliyejiuzulu. RAIS wa Burkina Faso, Blaise Compaore ametangaza kujiuzulu kufuatia vurugu za kisiasa zinazoendelea nchini humo. Jenerali Honore Traore.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Burkina Faso yapata rais wa mpito

Aliyekuwa waziri wa mambo ya nje Burkina Faso Michel Kafando, ametajwa kuwa rais wa mpito nchini humo.

 

10 years ago

StarTV

Rais wa Burkina Faso asema atajiuzulu

Rais Blaise Compaore wa Burkina Faso amesema atajiuzulu baada ya miezi 12 ya serikali ya mpito.
Ameyasema hayo wakati akilihutubia taifa siku moja baada ya kutokea machafuko.

 

Wakati ambao pia Mkuu wa Majeshi wa nchi hiyo ametangaza kuivunja serikali ya nchi hiyo.
Katika hotuba yake aliyoitoa kupitia kituo binafsi cha Televisheni, Rais Compaore amesema ameuelewa ujumbe uliotolewa na waandamanaji na kwamba ataondoka madarakani baada ya kumalizika kwa kipindi cha mpito cha miezi miezi...

 

9 years ago

BBCSwahili

Rais wa Senegal kupatanisha Burkina Faso

Rais wa Senegal Macky Sall na mwenzake wa Benin Boni Yayi wanaelekea Burkina Faso kushauriana na viongozi waliopindua serikali.

 

9 years ago

BBCSwahili

Burkina Faso yapata Rais mpya

Roch Marc Christian Kabore ameshinda uchaguzi mkuu wa nchi hiyo, kwa mujibu wa tume ya uchaguzi. Amepata zaidi ya asili mia 50

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani