Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walinzi wa rais Burkina Faso wasalimu amri

Viongozi waliopindua serikali nchini Burkina Faso wamekubali kurejesha madaraka kwa serikali ya kiraia na kurejea kwenye kambi zao.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Walinzi wa rais wakataa kusalimu silaha B Faso

Juhudi za kukipokonya silaha kikosi cha walinzi wa rais wa Burkina Faso kilichosalimu mamlaka wiki iliopita baada ya kufanya mapinduzi zimekwama kulingana na mkuu wa majeshi nchini humo.

 

11 years ago

Habarileo

Chadema wasalimu amri Arusha

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman MboweKAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewataka madiwani wa Mkoa wa Arusha kuhudhuria vikao vya madiwani walivyokuwa wamesusia kwa miaka kadhaa.

 

10 years ago

GPL

RAIS WA BURKINA FASO AJIUZULU

Rais Blaise Compaore aliyejiuzulu. RAIS wa Burkina Faso, Blaise Compaore ametangaza kujiuzulu kufuatia vurugu za kisiasa zinazoendelea nchini humo. Jenerali Honore Traore.…

 

9 years ago

BBCSwahili

Rais wa Senegal kupatanisha Burkina Faso

Rais wa Senegal Macky Sall na mwenzake wa Benin Boni Yayi wanaelekea Burkina Faso kushauriana na viongozi waliopindua serikali.

 

10 years ago

BBCSwahili

Burkina Faso yapata rais wa mpito

Aliyekuwa waziri wa mambo ya nje Burkina Faso Michel Kafando, ametajwa kuwa rais wa mpito nchini humo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Burkina Faso yapata Rais mpya

Roch Marc Christian Kabore ameshinda uchaguzi mkuu wa nchi hiyo, kwa mujibu wa tume ya uchaguzi. Amepata zaidi ya asili mia 50

 

10 years ago

StarTV

Rais wa Burkina Faso asema atajiuzulu

Rais Blaise Compaore wa Burkina Faso amesema atajiuzulu baada ya miezi 12 ya serikali ya mpito.
Ameyasema hayo wakati akilihutubia taifa siku moja baada ya kutokea machafuko.

 

Wakati ambao pia Mkuu wa Majeshi wa nchi hiyo ametangaza kuivunja serikali ya nchi hiyo.
Katika hotuba yake aliyoitoa kupitia kituo binafsi cha Televisheni, Rais Compaore amesema ameuelewa ujumbe uliotolewa na waandamanaji na kwamba ataondoka madarakani baada ya kumalizika kwa kipindi cha mpito cha miezi miezi...

 

9 years ago

Mtanzania

Rais, Waziri Mkuu wakamatwa Burkina Faso

kafando1OUAGADOUGOU, BURKINA FASO

WALINZI wa Ikulu nchini Burkina Faso wamemkamata Rais wa mpito, Michel Kafando na Waziri Mkuu Isaac Zida muda mchache tu baada ya jeshi kuivunjilia mbali serikali ya mpito.

Hatua hiyo ya jeshi imeitumbukiza nchi katika hali ya wasiwasi ikiwa ni wiki chache tu kabla uchaguzi wa kwanza kufanyika tangu kuondolewa madarakani kwa kiongozi wa zamani, Blaise Compaore.

Kukamatwa kwao kulisababisha maandamano barabarani hadi nje ya Ikulu, ambako viongozi hao walikuwa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Rais Kafando arudi mamlakani Burkina Faso

Rais wa mpito nchini Burkina Faso Michel Kafando amesema kuwa amerudi uongozini na uongozi wa raia kurudishwa takriban wiki moja baada ya mapinduzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani