Rais Kafando arudi mamlakani Burkina Faso
Rais wa mpito nchini Burkina Faso Michel Kafando amesema kuwa amerudi uongozini na uongozi wa raia kurudishwa takriban wiki moja baada ya mapinduzi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili31 Oct
Rais wa Burkina Faso ameng'olewa mamlakani
10 years ago
Tanzania Daima23 Nov
MICHEL KAFANDO: Rais mteule serikali ya mpito Burkina Faso
NOVEMBA 10 mwaka huu Burkina Faso ilikamilisha rasimu ya mkataba ya mpito ambayo ilisababisha upinzani na vyama vya kiraia nchini humo kuafikiana kuhusu baadhi ya vifungu hususan kugawana madaraka katika taasisi mbalimbali...
9 years ago
TheCitizen23 Sep
Burkina Faso's Michel Kafando 'back in charge'
10 years ago
BBCSwahili08 Feb
UN yataka rais wa Yemen arudi mamlakani
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TgHj0KqUN*sARgZjugbf0e8SybLB-YikgdSrR92I8d9ycOt7ZMupIoFLni8KVqBlElVOJgOO9jXzc3QuT4Q1*brDIiLSvJiP/BlaiseCompaore4.jpg?width=650)
RAIS WA BURKINA FASO AJIUZULU
9 years ago
BBCSwahili18 Sep
Rais wa Senegal kupatanisha Burkina Faso
10 years ago
StarTV31 Oct
Rais wa Burkina Faso asema atajiuzulu
Rais Blaise Compaore wa Burkina Faso amesema atajiuzulu baada ya miezi 12 ya serikali ya mpito.
Ameyasema hayo wakati akilihutubia taifa siku moja baada ya kutokea machafuko.
Wakati ambao pia Mkuu wa Majeshi wa nchi hiyo ametangaza kuivunja serikali ya nchi hiyo.
Katika hotuba yake aliyoitoa kupitia kituo binafsi cha Televisheni, Rais Compaore amesema ameuelewa ujumbe uliotolewa na waandamanaji na kwamba ataondoka madarakani baada ya kumalizika kwa kipindi cha mpito cha miezi miezi...
10 years ago
BBCSwahili17 Nov
Burkina Faso yapata rais wa mpito
9 years ago
BBCSwahili01 Dec
Burkina Faso yapata Rais mpya