UN yataka rais wa Yemen arudi mamlakani
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amesema kuwa rais wa zamani wa Yemen, lazima arejeshwe madarakani.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili23 Sep
Rais Kafando arudi mamlakani Burkina Faso
10 years ago
BBCSwahili31 Dec
Rais Jammeh:'Bado niko mamlakani'
10 years ago
BBCSwahili31 Oct
Rais wa Burkina Faso ameng'olewa mamlakani
10 years ago
BBCSwahili31 Dec
Rais wa Gambia arudi nyumbani
10 years ago
Vijimambo23 Jan
Rais wa Yemen ajiuzulu
![Rais wa zamani wa Yemen, Abd Rabbuh Mansour Hadi akizungumza wakati wa kufunga mashauriano ya kitaifa mjini Sana'a](http://gdb.voanews.com/89A67710-B608-4867-8D1D-A23EDEE464CC_w640_r1_s.jpg)
Rais wa zamani wa Yemen, Abd Rabbuh Mansour Hadi akizungumza wakati wa kufunga mashauriano ya kitaifa mjini Sana'a
Rais wa Yemen Abd Rabbuh Mansour Hadi na baraza lake la mawaziri walielezea kujiuzulu kwao. Hatua hiyo imekuja kufuatia vuguvugu la vita vya kisiasa kati ya Rais na wanamgambo wa Houthi ambao wameshambulia nchi tangu jumatatu.
Msemaji wa serikali ya Yemen mjini Washington, Mohammed Albasha alitangaza Rais wa Yemen aliyekumbwa na matatizo alijiuzulu kupitia mtandao wa kijamii hapo...
10 years ago
StarTV30 Mar
Makao ya rais yashambuliwa Yemen.
Rais wa Yemeni Abd Rabbuh Mansour Hadi amehamishwa hadi mahala salama baada ya mashambulio ya angani katika maskani yake katika mji wa Aden, Kusini mwa taifa hilo.
Bwana hadi alitoroka kutoka mji wa Sanaa ambao umetekwa na Waasi wa Houthi na anajaribu kujenga kambi mpya ya utawala katika eneo hilo.
Ndege mbili za kivita zinaaminika kutumika katika mashambulio hayo, lakini maskani yake hayakushambuliwa moja kwa moja.
Ndege hizo zinadaiwa kutumwa kutoka mji wa Sanaa.
Uvamizi huo ulitokea saa...
10 years ago
BBCSwahili25 Mar
Ngome ya rais yashambuliwa Yemen
10 years ago
BBCSwahili19 Mar
Makao ya rais yashambuliwa Yemen
10 years ago
BBCSwahili03 Apr
Yemen:Jumba la rais laachiliwa na waasi