Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais wa Yemen ajiuzulu

Rais wa zamani wa Yemen, Abd Rabbuh Mansour Hadi akizungumza wakati wa kufunga mashauriano ya kitaifa mjini Sana'a
Rais wa zamani wa Yemen, Abd Rabbuh Mansour Hadi akizungumza wakati wa kufunga mashauriano ya kitaifa mjini Sana'a
Rais wa Yemen Abd Rabbuh Mansour Hadi na baraza lake la mawaziri walielezea kujiuzulu kwao. Hatua hiyo imekuja kufuatia vuguvugu la vita vya kisiasa kati ya Rais na wanamgambo wa Houthi ambao wameshambulia nchi tangu jumatatu.

Msemaji wa serikali ya Yemen mjini Washington, Mohammed Albasha alitangaza Rais wa Yemen aliyekumbwa na matatizo alijiuzulu kupitia mtandao wa kijamii hapo...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Rais wa Barcelona ajiuzulu

Rais wa Barcelona Sandro Rosell ajiuzulu kufuatia madai ya utumizi mbaya wa fedha wakati klabu hiyo ilipomsajili Neymar kutoka Brazil

 

10 years ago

GPL

RAIS WA BURKINA FASO AJIUZULU

Rais Blaise Compaore aliyejiuzulu. RAIS wa Burkina Faso, Blaise Compaore ametangaza kujiuzulu kufuatia vurugu za kisiasa zinazoendelea nchini humo. Jenerali Honore Traore.…

 

11 years ago

BBCSwahili

Rais wa mpito CAR ajiuzulu

Rais wa mpito katika Jamhuri ya Afrika ya Kati Michel Djotodia amejiuzulu baada ya wiki kadhaa za vurugu za kidini

 

9 years ago

BBCSwahili

Rais, Chama cha Soka Ujerumani ajiuzulu

Rais wa Chama cha Soka Ujerumani -DFB- Wolfgang Niersbach amejiuzulu kwa tuhuma za ukwepaji kodi na kujihusisha na rushwa.

 

10 years ago

StarTV

Makao ya rais yashambuliwa Yemen.

Rais wa Yemeni Abd Rabbuh Mansour Hadi amehamishwa hadi mahala salama baada ya mashambulio ya angani katika maskani yake katika mji wa Aden, Kusini mwa taifa hilo.

Bwana hadi alitoroka kutoka mji wa Sanaa ambao umetekwa na Waasi wa Houthi na anajaribu kujenga kambi mpya ya utawala katika eneo hilo.

Ndege mbili za kivita zinaaminika kutumika katika mashambulio hayo, lakini maskani yake hayakushambuliwa moja kwa moja.

Ndege hizo zinadaiwa kutumwa kutoka mji wa Sanaa.

Uvamizi huo ulitokea saa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Makao ya rais yashambuliwa Yemen

Rais wa Yemeni Abd Rabbuh Mansour Hadi amehamishwa hadi mahala salama baada ya makao yake kushambuliwa na ndege

 

10 years ago

BBCSwahili

Ngome ya rais yashambuliwa Yemen

Ndege za kivita nchini Yemen zimerusha makombora katika mji wa kusini wa Aden ambapo rais Abd Rabbuh Mansour Hadi

 

10 years ago

GPL

BI MWENDA AMEMTAKA RAIS WA BONGO MOVIE UNITY AJIUZULU

Stori: Shani Ramadhani
MKONGWE wa uigizaji Fatuma Makongoro ‘Bi. Mwenda’ amemtaka Mwenyekiti  wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ asijiuzulu kwani kazi aliyoifanya hadi sasa ni kubwa na nzuri. Mkongwe wa uigizaji Fatuma Makongoro ‘Bi. Mwenda’ “Mimi nashangaa haya maneno yanatokea wapi sijui, lakini sipendi kusikia Steve Nyerere amejiuzulu na kama akijiuzulu,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Waasi 'waiteka' ikulu ya Rais Yemen

Taarifa za hivi punde kutoka mji mkuu wa Yemen, Sanaa zinasema makabiliano makali yametokea kati ya waasi wa Houthi na vikosi vya usalama katika ikulu ya Rais.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani