Rais, Waziri Mkuu wakamatwa Burkina Faso
OUAGADOUGOU, BURKINA FASO
WALINZI wa Ikulu nchini Burkina Faso wamemkamata Rais wa mpito, Michel Kafando na Waziri Mkuu Isaac Zida muda mchache tu baada ya jeshi kuivunjilia mbali serikali ya mpito.
Hatua hiyo ya jeshi imeitumbukiza nchi katika hali ya wasiwasi ikiwa ni wiki chache tu kabla uchaguzi wa kwanza kufanyika tangu kuondolewa madarakani kwa kiongozi wa zamani, Blaise Compaore.
Kukamatwa kwao kulisababisha maandamano barabarani hadi nje ya Ikulu, ambako viongozi hao walikuwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili29 Nov
Uchaguzi mkuu unaendelea Burkina Faso
9 years ago
BBCSwahili24 Sep
Raia wafagia mji mkuu Burkina Faso
10 years ago
BBCSwahili06 Nov
Burkina Faso kufanya uchaguzi mkuu 2015
9 years ago
BBCSwahili21 Sep
Wanajeshi Burkina Faso walenga mji mkuu
9 years ago
BBCSwahili22 Sep
Jeshi la Burkina Faso lawasili mji mkuu
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TgHj0KqUN*sARgZjugbf0e8SybLB-YikgdSrR92I8d9ycOt7ZMupIoFLni8KVqBlElVOJgOO9jXzc3QuT4Q1*brDIiLSvJiP/BlaiseCompaore4.jpg?width=650)
RAIS WA BURKINA FASO AJIUZULU
9 years ago
BBCSwahili01 Dec
Burkina Faso yapata Rais mpya
10 years ago
BBCSwahili17 Nov
Burkina Faso yapata rais wa mpito
10 years ago
StarTV31 Oct
Rais wa Burkina Faso asema atajiuzulu
Rais Blaise Compaore wa Burkina Faso amesema atajiuzulu baada ya miezi 12 ya serikali ya mpito.
Ameyasema hayo wakati akilihutubia taifa siku moja baada ya kutokea machafuko.
Wakati ambao pia Mkuu wa Majeshi wa nchi hiyo ametangaza kuivunja serikali ya nchi hiyo.
Katika hotuba yake aliyoitoa kupitia kituo binafsi cha Televisheni, Rais Compaore amesema ameuelewa ujumbe uliotolewa na waandamanaji na kwamba ataondoka madarakani baada ya kumalizika kwa kipindi cha mpito cha miezi miezi...