Wabunge wakataa kubanwa
BAADHI ya wabunge wa Bunge Maalum la Katiba, wamependekeza kuondoa kwenye rasimu ya Katiba mpya, kipengele kinachotaka wananchi wapewe uwezo kisheria, kuwaondoa wabunge wao wasioweza kutatua kero za wapigakura wao, badala ya kusubiri mpaka baada ya Uchaguzi Mkuu.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo07 Feb
Wabunge wakataa taarifa ya Jiji
KAMATI ya Bunge ya Kudumu ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imekataa taarifa ya ujenzi wa kliniki ya mama na mtoto ya Utemini jijini hapa, kutokana kujengwa chini ya kiwango. Taarifa hiyo ilikataliwa baada ya uongozi wa Halmashauri ya jiji la Mwanza, kushindwa kuonesha thamani halisi ya fedha iliyotumika katika ujenzi wa klinki hiyo, ambayo ni mbadala wa kliniki ya Makongoro, ambayo eneo lake lilinunuliwa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
11 years ago
Habarileo20 Feb
Wabunge wakataa posho Sh 300,000
WAKATI mjadala wa kihistoria wa kuunda Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ukiwa katika hatua ya kupata kanuni za Bunge Maalumu la Katiba, baadhi ya wajumbe wameamua kuelekeza nguvu kudai posho nono.
10 years ago
Habarileo17 Aug
Maofisa takwimu kubanwa
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia amesema Serikali haitakuwa na huruma kwa maofisa elimu, takwimu na vifaa (SLO) katika halmashauri nchini watakaochelewesha na kuwasilisha takwimu za elimu zisizo sahihi.
11 years ago
Habarileo28 Feb
Kampuni za simu kubanwa
KAMPUNI za simu nchini zitaanza kufuatiliwa na mtambo maalumu ili kubaini kila senti zinazoingiza na kuwezesha Serikali kupata kodi yake kikamilifu.
9 years ago
Habarileo27 Aug
Wazazi wasiowajibika kubanwa
SERIKALI imesema itaboresha sheria kwa ajili ya kubana wazazi wasiowajibika katika malezi.
11 years ago
Mtanzania08 Aug
Sitta azidi kubanwa
![Samuel Sitta](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Samuel-Sitta.jpg)
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta
NA WAANDISHI WETU
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amezidi kuandamwa baada ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kumtaka kusitisha mara moja mchakato wa Katiba unaoendelea.
Kituo hicho, kimesema Bunge hilo linapaswa kusitishwa hadi muafaka utakapofikiwa kati ya makundi mawili yanayosigana.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa LHRC,...
11 years ago
Mwananchi25 Jun
Wachakachuaji pembejeo kubanwa
10 years ago
Habarileo02 Apr
Wahuni mitandaoni kubanwa
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imependekeza kwa Serikali iongeze adhabu ya faini kutoka Sh milioni tatu na kifungo kisichopungua miezi sita na kuwa faini ya Sh milioni tano na kifungo kisichopungua miezi sita kwa wale wote watakaotuma katika mtandao taarifa za uongo.
10 years ago
Tanzania Daima22 Oct
Ngeleja: Wachakachua mbolea kubanwa
KAMATI ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala, imekabidhiwa miswada ya marekebisho ya sheria mbalimbali zaidi ya 30 ikiwemo marekebisho ya sheria ya mbolea ambayo itaweza kusaidia kutoa adhabu kwa...