Wazazi wasiowajibika kubanwa
SERIKALI imesema itaboresha sheria kwa ajili ya kubana wazazi wasiowajibika katika malezi.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo25 Feb
RC kuwasweka ndani viongozi wasiowajibika
MKUU wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza amewatangazia Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya mkoani humu kuwa, ameacha wazi milango kwa wasioweza kuendana na kasi yake ya utendaji kazi waondoke, vinginevyo, atawaweka ndani.
10 years ago
Habarileo21 Mar
Waziri awaonya wakuu wa wilaya wasiowajibika
SERIKALI imesema haitasita kumwajibisha mkuu wa wilaya ambaye atashindwa kusimamia majukumu yake ipasavyo ili kuhakikisha wananchi wanaendelea kuwa na imani na Serikali yao.
10 years ago
MichuziWAKANDARASI UMEME WASIOWAJIBIKA KUNYANG’ANYWA TENDA
10 years ago
Habarileo17 Aug
Maofisa takwimu kubanwa
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia amesema Serikali haitakuwa na huruma kwa maofisa elimu, takwimu na vifaa (SLO) katika halmashauri nchini watakaochelewesha na kuwasilisha takwimu za elimu zisizo sahihi.
11 years ago
Habarileo28 Feb
Kampuni za simu kubanwa
KAMPUNI za simu nchini zitaanza kufuatiliwa na mtambo maalumu ili kubaini kila senti zinazoingiza na kuwezesha Serikali kupata kodi yake kikamilifu.
11 years ago
Mtanzania08 Aug
Sitta azidi kubanwa
![Samuel Sitta](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Samuel-Sitta.jpg)
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta
NA WAANDISHI WETU
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amezidi kuandamwa baada ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kumtaka kusitisha mara moja mchakato wa Katiba unaoendelea.
Kituo hicho, kimesema Bunge hilo linapaswa kusitishwa hadi muafaka utakapofikiwa kati ya makundi mawili yanayosigana.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa LHRC,...
10 years ago
Habarileo20 Aug
Wabunge wakataa kubanwa
BAADHI ya wabunge wa Bunge Maalum la Katiba, wamependekeza kuondoa kwenye rasimu ya Katiba mpya, kipengele kinachotaka wananchi wapewe uwezo kisheria, kuwaondoa wabunge wao wasioweza kutatua kero za wapigakura wao, badala ya kusubiri mpaka baada ya Uchaguzi Mkuu.
11 years ago
Mwananchi25 Jun
Wachakachuaji pembejeo kubanwa
10 years ago
Habarileo02 Apr
Wahuni mitandaoni kubanwa
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imependekeza kwa Serikali iongeze adhabu ya faini kutoka Sh milioni tatu na kifungo kisichopungua miezi sita na kuwa faini ya Sh milioni tano na kifungo kisichopungua miezi sita kwa wale wote watakaotuma katika mtandao taarifa za uongo.