Wachakachuaji pembejeo kubanwa
>Serikali imeanza mchakato wa marekebisho ya Sheria ya Mbegu, Mbolea na Dawa itakayosaidia kuwabana ama kuwafilisi mawakala wa pembejeo za kilimo watakaobainika kufanya biashara kwa kuzichakachua.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo23 Nov
Mabadiliko ya sheria kiama cha wachakachuaji mbolea, mbegu
WACHAKACHUAJI wa mbolea na mbegu nchini, sasa watakabiliwa adhabu kubwa zaidi zikiwamo za faini ya Sh milioni 500 na kifungo kisichozidi miaka saba gerezani endapo Bunge litaridhia mabadiliko ya sheria.
9 years ago
Habarileo27 Aug
Wazazi wasiowajibika kubanwa
SERIKALI imesema itaboresha sheria kwa ajili ya kubana wazazi wasiowajibika katika malezi.
11 years ago
Mtanzania08 Aug
Sitta azidi kubanwa
![Samuel Sitta](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Samuel-Sitta.jpg)
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta
NA WAANDISHI WETU
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amezidi kuandamwa baada ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kumtaka kusitisha mara moja mchakato wa Katiba unaoendelea.
Kituo hicho, kimesema Bunge hilo linapaswa kusitishwa hadi muafaka utakapofikiwa kati ya makundi mawili yanayosigana.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa LHRC,...
10 years ago
Habarileo20 Aug
Wabunge wakataa kubanwa
BAADHI ya wabunge wa Bunge Maalum la Katiba, wamependekeza kuondoa kwenye rasimu ya Katiba mpya, kipengele kinachotaka wananchi wapewe uwezo kisheria, kuwaondoa wabunge wao wasioweza kutatua kero za wapigakura wao, badala ya kusubiri mpaka baada ya Uchaguzi Mkuu.
10 years ago
Habarileo17 Aug
Maofisa takwimu kubanwa
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia amesema Serikali haitakuwa na huruma kwa maofisa elimu, takwimu na vifaa (SLO) katika halmashauri nchini watakaochelewesha na kuwasilisha takwimu za elimu zisizo sahihi.
10 years ago
Habarileo02 Apr
Wahuni mitandaoni kubanwa
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imependekeza kwa Serikali iongeze adhabu ya faini kutoka Sh milioni tatu na kifungo kisichopungua miezi sita na kuwa faini ya Sh milioni tano na kifungo kisichopungua miezi sita kwa wale wote watakaotuma katika mtandao taarifa za uongo.
11 years ago
Habarileo28 Feb
Kampuni za simu kubanwa
KAMPUNI za simu nchini zitaanza kufuatiliwa na mtambo maalumu ili kubaini kila senti zinazoingiza na kuwezesha Serikali kupata kodi yake kikamilifu.
10 years ago
Mtanzania11 May
Waliofungiwa CCM waendelea kubanwa
NA FREDY AZZAH, Dar es Salaam
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza ratiba ya vikao vya chama hicho kuanza mwezi huu ikionyesha mchakato wa kuchukua fomu za kuwania kugombea urais utafanyika wakati makada wake sita waliofungiwa wakiendelea kuwa kifungoni.
Akizungumza na MTANZANIA kwa simu jana, Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, alisema baada ya ratiba ya uchaguzi kutangazwa ndani ya chama hicho, wana CCM watatakiwa kuendelea kuheshimu taratibu na sheria za...
10 years ago
Habarileo18 Oct
Wapinzani wa Katiba waendelea kubanwa
SASA ni dhahiri wanasiasa wanaojiandaa kuzunguka nchi nzima kushawishi Watanzania wapige kura ya Hapana kwa Katiba Inayopendekezwa, kibarua chao kimeanza kuwa kigumu kabla hata hawajaanza.