Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sitta azidi kubanwa

Samuel Sitta

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta

NA WAANDISHI WETU

MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amezidi kuandamwa baada ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kumtaka kusitisha mara moja mchakato wa Katiba unaoendelea.

Kituo hicho, kimesema Bunge hilo linapaswa kusitishwa hadi muafaka utakapofikiwa kati ya makundi mawili yanayosigana.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa  LHRC,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Lipumba azidi kubanwa mahakamani

Ofisa Operesheni wa Polisi Temeke, Muhudhnwari Msuya ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa, Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba alikiri kupokea barua ya polisi iliyowazuia kufanya maandamano na mkutano Mbagala Zakhem, lakini alikaidi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waziri Mkuu wa Ugiriki azidi kubanwa

Waziri mkuu wa ugiriki Alexis Tsipras wa Ugiirik anazidi kukabiliwa na upinzani kwa hatua mpya na kali za malipo alizokubali.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sitta azidi kuumbuka

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba (BMK), Samuel Sitta, ameendelea kubanwa baada ya Jukwaa la Katiba (Jukata), kudai kura nyingine iliyopigwa kwa ajili kuhalalisha theluthi mbili Zanzibar ilichakachuliwa kutokea...

 

11 years ago

Mwananchi

KAMPENI: Sitta azidi kupigiwa debe

>Baadhi ya wabunge wamesema Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, ndiye anayefaa kuwania nafasi ya uenyekiti wa kudumu kwa sababu uadilifu wake hauna shaka.

 

11 years ago

Dewji Blog

Sitta azidi kupingwa, adaiwa kuhadaa watanzania

sitta

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta.

Na Mwandishi wetu

Mwinjilisti wa Kanisa la TAG liliko Mbagala wilayani Temeke jijini Dar es Salaam, Medad Kyabashasa, amesema kitendo cha Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta kuunda Kamati ya maridhiano ni kitendo cha kuwahadaa Watanzania.

Hadaa hiyo ni yakutaka kuwafanya wajumbe wanaopigania Katiba ya Wananchi (Ukawa), ambao wametoka nje ya bunge hilo kupinga ubabe unaofanywa na wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi, waonekane ni...

 

10 years ago

Mtanzania

Sitta azidi kuinanga rasimu ya Jaji Warioba

Samuel Sitta

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta

MAREGESI PAUL NA RACHEL MRISHO, DODOMA

MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, ameendelea kusisitiza kuwa rasimu ya Katiba mpya iliyosimamiwa na Jaji Joseph Warioba imejaa kasoro.

Kutokana na hali hiyo, amesema Bunge Maalumu la Katiba limelazimika kuiboresha kwa kuwa kila kitu kinachoandikwa na binadamu hakiwezi kuwa sahihi.

Sitta alitoa kauli hiyo mjini hapa jana, alipokuwa akipokea...

 

10 years ago

Habarileo

Wahuni mitandaoni kubanwa

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Peter Serukamba KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imependekeza kwa Serikali iongeze adhabu ya faini kutoka Sh milioni tatu na kifungo kisichopungua miezi sita na kuwa faini ya Sh milioni tano na kifungo kisichopungua miezi sita kwa wale wote watakaotuma katika mtandao taarifa za uongo.

 

10 years ago

Habarileo

Maofisa takwimu kubanwa

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia.WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia amesema Serikali haitakuwa na huruma kwa maofisa elimu, takwimu na vifaa (SLO) katika halmashauri nchini watakaochelewesha na kuwasilisha takwimu za elimu zisizo sahihi.

 

11 years ago

Habarileo

Kampuni za simu kubanwa

Rais Jakaya Kikwete akizindua rasmi mtambo wa usimamizi wa ufuatiliaji mawasiliano ya simu nchini (TTMS) katika sherehe iliyofanyika Dar es Salaam jana. Kutoka kulia ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Mecki Sadiki. (Picha na Mohamed Mambo).KAMPUNI za simu nchini zitaanza kufuatiliwa na mtambo maalumu ili kubaini kila senti zinazoingiza na kuwezesha Serikali kupata kodi yake kikamilifu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani