Sitta azidi kuumbuka
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba (BMK), Samuel Sitta, ameendelea kubanwa baada ya Jukwaa la Katiba (Jukata), kudai kura nyingine iliyopigwa kwa ajili kuhalalisha theluthi mbili Zanzibar ilichakachuliwa kutokea...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mtanzania08 Aug
Sitta azidi kubanwa
![Samuel Sitta](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Samuel-Sitta.jpg)
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta
NA WAANDISHI WETU
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amezidi kuandamwa baada ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kumtaka kusitisha mara moja mchakato wa Katiba unaoendelea.
Kituo hicho, kimesema Bunge hilo linapaswa kusitishwa hadi muafaka utakapofikiwa kati ya makundi mawili yanayosigana.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa LHRC,...
11 years ago
Mwananchi21 Feb
KAMPENI: Sitta azidi kupigiwa debe
10 years ago
Mtanzania02 Sep
Sitta azidi kuinanga rasimu ya Jaji Warioba
![Samuel Sitta](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Samuel-Sitta.jpg)
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta
MAREGESI PAUL NA RACHEL MRISHO, DODOMA
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, ameendelea kusisitiza kuwa rasimu ya Katiba mpya iliyosimamiwa na Jaji Joseph Warioba imejaa kasoro.
Kutokana na hali hiyo, amesema Bunge Maalumu la Katiba limelazimika kuiboresha kwa kuwa kila kitu kinachoandikwa na binadamu hakiwezi kuwa sahihi.
Sitta alitoa kauli hiyo mjini hapa jana, alipokuwa akipokea...
11 years ago
Dewji Blog18 Jul
Sitta azidi kupingwa, adaiwa kuhadaa watanzania
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta.
Na Mwandishi wetu
Mwinjilisti wa Kanisa la TAG liliko Mbagala wilayani Temeke jijini Dar es Salaam, Medad Kyabashasa, amesema kitendo cha Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta kuunda Kamati ya maridhiano ni kitendo cha kuwahadaa Watanzania.
Hadaa hiyo ni yakutaka kuwafanya wajumbe wanaopigania Katiba ya Wananchi (Ukawa), ambao wametoka nje ya bunge hilo kupinga ubabe unaofanywa na wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi, waonekane ni...
10 years ago
Bongo508 Jul
Bila kazi ya ziada ukitegemea muziki unaweza kuumbuka town — Stereo
10 years ago
Mtanzania25 Aug
Magufuli azidi kuandamwa
![Waziri John Magufuli](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/John-Magufuli.jpg)
Waziri John Magufuli
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam.
CHAMA cha Alliance for Democratic Change (ADC), kimemtaka Rais Jakaya Kikwete kumfukuza kazi Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli kwa kuisababishia hasara Serikali baada ya kushindwa kesi ya uvuvi haramu wa samaki katika Ukanda wa kiuchumi wa Bahari ya Hindi bila kibali.
Kauli hiyo imekuja siku chache baada ya Serikali kubwagwa katika kesi hiyo maarufu kama kesi ya ‘samaki wa Magufuli’ iliyofungulia mwaka 2012 wakati Dk. Magufuli akiwa...
11 years ago
Tanzania Daima19 Mar
Kificho azidi kuandamwa
JUMUIYA ya wastaafu wa taasisi za serikali na wakulima wamemtaka Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar (BLW), Pandu Ameir Kificho, kujiuzulu wadhifa wake kwa kile walichodai kuandaa waraka unaopendekeza kuwepo...