Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bila kazi ya ziada ukitegemea muziki unaweza kuumbuka town — Stereo

Rapper Stereo amedai kuwa muziki wa Tanzania ni mgumu kiasi kwamba kama msanii hana shughuli zingine za kujiingizia kipato anaweza kuumbuka. Stereo ameambia Bongo5 kuwa licha ya kutangaza kujikita zaidi kwenye kufanya muziki baada ya kumaliza masomo yake, amegundua kuwa muziki hauwezi kuwa tegemeo la wasanii. “Ni kweli nimeongeza muda wangu zaidi kwenye muziki, ambao […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Stereo aingia studio na AY kuandaa kazi mpya

Rapper Stereo amesema ameingia studio kurekodi wimbo aliomshirikisha AY. Stereo amesema huo ndio utakuwa ujio wake mpya. “Sasa ninaweza kusema muda umefika wa kufanya kazi na Ambwene Yessayah,” amesema. “Mpaka sasa tunavyozungumza tuna bonge la beat limetengezezwa na mtu mmoja anaitwa Ringo. Hii kazi inafanyika pale kwa Marco Chali pale MJ.” “Leo nilikuwa nataka test […]

 

9 years ago

Bongo5

Muziki wa Eminem unaweza kukuongezea nguvu — Utafiti

eminem-1-736x414Muziki wa rapper Eminem unaweza kumuongezea mwanamichezo nguvu ya kufanya vizuri zaidi kwa asilimia 10, utafiti umebaini. Ngoma za rapper huyo zikiwemo Lose Yourself na Without Me – zimeonesha kuwa na uwezo wa kumuongezea mtu nguvu na ustahimilivu katika kipindi kirefu cha mazoezi. Watafiti walitumia miezi minne kufanya utafiti na muogeleaji wa Uingereza, Ben Hooper […]

 

10 years ago

Raia Tanzania

‘Kuna kazi ya ziada katika elimu’

MVUTANO  na mijadala inayohusu ubora wa sera ya elimu na mitaala ya kufundishia imekuwepo kwa muda mrefu nchini, elimu ya sekondari imeguswa sana kutokana na umuhimu wake.

Inaaminika mwanafunzi ili awe na uelewa mzuri atakapofika chuo kikuu lazima awe na msingi zmuri wa elimu ya sekondari, hiyo ndio siri ya kutiliwa mkazo kwa ngazi hiyo ya elimu.

Hata hivyo, ufaulu ni moja ya changamoto inayoumiza vichwa vya wadau wa elimu, ndio sababu ya kuibuka mjadala wa mfumo upi utumike katika...

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli afanya kazi ya ziada kuwanadi wabunge

Mgombea wa urais kupitia CCM, Dk John Magufuli ameanza kuonja shubiri ya kuwanadi baadhi ya wabunge wa chama hicho baada juzi, akiwa Kalambo mkoani Katavi, baadhi ya wananchi kuguna pale alipompandisha jukwaani mgombea ubunge wa jimbo hilo, Josephat Kandege.

 

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI : Ukawa ina kazi ya ziada Iringa Mjini, Kalenga na Isimani

Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, Mkoa wa Iringa una jumla ya wakazi 941,238 na ongezeko la watu ni asilimia 1.1 kwa mwaka.

 

9 years ago

BBCSwahili

Unaweza kuigiza sokwe? Kuna kazi

Je, ungependa kujiunga na mwigizaji mashuhuri Andy Serkis katika kuigiza filamu mpya ya msururu wa filamu za Planet of the Apes?

 

10 years ago

Vijimambo

Taarifa Potofu za Lowassa Kwenda CHADEMA: Uongo ukiachwa ukasemwa sana bila kusahihishwa unaweza kugeuka kuwa ukweli.

Tungependa kusahihisha propaganda nyepesi zinazoendelea kuenezwa ili kuusaidia umma usiendelee kupotoshwa kwa mambo yasiyokuwa ya msingi huku kukiwa na mambo makubwa yanayohitaji 'attention' ya Watanzania kuamua mustakabali sahihi wa nchi yao kwa kuchagua MABADILIKO kupitia uchaguzi wa kihistoria hapo Oktoba 25.1. Zipo taarifa zinaendelea kuenezwa kuhusu makada wa CCM wakiongozwa na Edward Lowassa kuwa wana mpango wa kuhamia CHADEMA. Hadi sasa tunaziona habari hizo kupitia mitandaoni na...

 

10 years ago

GPL

IYANYA ASEMA BILA MUZIKI ANGEKUWA MFANYABIASHARA

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, Iyanya.
Lagos Nigeria
TANGU aliposhinda mashindano ya kwanza ya kutafuta mwanamuziki mwenye kipaji ambayo yalitayarishwa na kampuni moja kubwa ya mawasiliano, Inyanya, mwanamuziki wa Nigeria na mtunzi wa wimbo wa ‘Kukere’ amekuwa ‘gumzo la mjini’. Katika mahojiano na kituo cha televisheni cha MTV, mwanamuziki huyo kutoka jimbo la Cross River aliyepandishwa chati na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sitta azidi kuumbuka

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba (BMK), Samuel Sitta, ameendelea kubanwa baada ya Jukwaa la Katiba (Jukata), kudai kura nyingine iliyopigwa kwa ajili kuhalalisha theluthi mbili Zanzibar ilichakachuliwa kutokea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani