Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Kuna kazi ya ziada katika elimu’

MVUTANO  na mijadala inayohusu ubora wa sera ya elimu na mitaala ya kufundishia imekuwepo kwa muda mrefu nchini, elimu ya sekondari imeguswa sana kutokana na umuhimu wake.

Inaaminika mwanafunzi ili awe na uelewa mzuri atakapofika chuo kikuu lazima awe na msingi zmuri wa elimu ya sekondari, hiyo ndio siri ya kutiliwa mkazo kwa ngazi hiyo ya elimu.

Hata hivyo, ufaulu ni moja ya changamoto inayoumiza vichwa vya wadau wa elimu, ndio sababu ya kuibuka mjadala wa mfumo upi utumike katika...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa Kujitolea wa Kimarekani kufanya kazi katika sekta ya elimu katika wilaya 31 nchini Tanzania

Dar es Salaam, TANZANIA.  Leo asubuhi, Balozi wa Tanzania nchini Tanzania Mark Childress amewaapisha wafanyakazi wa kujitolewa wa Kimarekani (Peace Corps Volunteers) wapatao 59 ili kuanza huduma yao ya miaka miwili nchini Tanzania. Hafla ya kuwaapisha wafanyakazi hao ilifanyika katika viwanja vya Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Ukaguzi wa Shule ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk. Edicome Cornel Shirima, Mkurugenzi Mkazi wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Nguvu ya ziada inahitajika kukuza elimu nchini

Moyo wangu umejaa huzuni. Ni huzuni inayotokana na kuongezeka kwa watu, hasa watoto wasiokuwa na elimu nchini.

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli afanya kazi ya ziada kuwanadi wabunge

Mgombea wa urais kupitia CCM, Dk John Magufuli ameanza kuonja shubiri ya kuwanadi baadhi ya wabunge wa chama hicho baada juzi, akiwa Kalambo mkoani Katavi, baadhi ya wananchi kuguna pale alipompandisha jukwaani mgombea ubunge wa jimbo hilo, Josephat Kandege.

 

10 years ago

Bongo5

Bila kazi ya ziada ukitegemea muziki unaweza kuumbuka town — Stereo

Rapper Stereo amedai kuwa muziki wa Tanzania ni mgumu kiasi kwamba kama msanii hana shughuli zingine za kujiingizia kipato anaweza kuumbuka. Stereo ameambia Bongo5 kuwa licha ya kutangaza kujikita zaidi kwenye kufanya muziki baada ya kumaliza masomo yake, amegundua kuwa muziki hauwezi kuwa tegemeo la wasanii. “Ni kweli nimeongeza muda wangu zaidi kwenye muziki, ambao […]

 

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI : Ukawa ina kazi ya ziada Iringa Mjini, Kalenga na Isimani

Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, Mkoa wa Iringa una jumla ya wakazi 941,238 na ongezeko la watu ni asilimia 1.1 kwa mwaka.

 

5 years ago

Michuzi

JAFO APONGEZA KAZI KUBWA INAYOFANYWA NA DC JOKATE KATIKA SEKTA YA ELIMU NA AFYA KISARAWE

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi Mhe Seleman Jafo amesema kukamilika kwa mradi wa maji wa Wilaya ya Kisarawe ulioigharimu Serikali kiasi cha zaidi ya Sh Bilioni 10, kutazidi  kukuza maendeleo ya wilaya hiyo ambayo kwa kipindi cha hivi karibuni imeshuhudiwa ikipiga hatua kubwa kupitia sekta za elimu pamoja na afya.

Akizungumza wakati akifungua kongamano la ‘Mama lishe’ lililowakutanisha mama lishe mbalimbali wilayani humo, Waziri Jafo  pia alitumia nafasi hiyo kumpongeza Mkuu wa Wilaya...

 

11 years ago

Mwananchi

Masomo ya ziada yana nafasi katika maendeleo ya mwanao shuleni

Kama mzazi au mlezi umewahi kufikiri umuhimu wa kumwanzisha mtoto wako kwenye mapango wa masomo ya ziada.

 

11 years ago

Michuzi

WANANCHI WAFURIKA BANDA LA BUNGE KUPATA ELIMU KUHUSU KAZI ZA BUNGE KATIKA VIWANJA VYA SABASABA

Banda la Bunge katika Viwanja vya Sabasaba Wananchi wakiangalia picha za Maspika ambao walishawahi kuongoza Bunge tangu enzi za ukoloni hadi sasa. Majengo ambayo wamewahi kutumiwa na Bunge nayo yawa kivutio. Hapa Wananchi wakiangalia picha hizo katika Banda la Bunge. Afisa wa Bunge Ndg. Dickson Bisile akigawa vipeperushi vya Historia ya Bunge kwa wananchi wanaoingia katika Banda la Bunge kupata Elimu kuhusu Bunge. Afisa wa Bunge Bi. Asia Minja akitoa maelezo kuhusu hatua mahususi ambazo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete kuwa Mgeni rasmi katika Kikao cha kazi cha Usimamizi na Uendeshaji wa Elimu Msingi

DSC_5259

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI Mhe. Hawa A. Ghasia akiwakaribisha wajumbe wa Kikao kazi cha Usimamizi na Uendeshaji wa Elimu Msingi kinachofanyika  katika ukumbi wa Chimwaga, Chuo Kikuu cha Dodoma kuanzia tarehe 01-03 Oktoba, 2014. Lengo la kikao hicho ni kuainisha Mafanikio na Changamoto katika utekelezaji wa Matokeo Makubwa Sasa katika Sekta ya Elimu.

Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI  kwa kushirikiana na Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo wameandaa kikao cha kazi kuhusu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani