Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Masomo ya ziada yana nafasi katika maendeleo ya mwanao shuleni

Kama mzazi au mlezi umewahi kufikiri umuhimu wa kumwanzisha mtoto wako kwenye mapango wa masomo ya ziada.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

MARION : Mapishi yana nafasi kubwa katika maisha

Marion Elias siyo jina geni kwa watazamaji wa runinga hususan ITV. Licha ya kuwa mwanadada huyu alikuwa akitangaza vipindi kadha wa kadha, lakini nyota yake ilionekana kung’ara zaidi katika Kipindi cha Mapishi.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwezeshe mwanao kufanya marejeo ya masomo yake

Kama mzazi au mlezi umewahi kufikiria umuhimu wa kumwanzisha mtoto wako kwenye mapango wa masomo ya ziada?

 

9 years ago

Michuzi

MWALIMU HOSEA DANIEL KUTOKA FOLUMA TUITION CENTRE AELEZA UMUHIMU WA MASOMO YA ZIADA.

Pichani ni Mwalimu Hosea Daniel kutoka Kituo cha Masomo ya Ziada (Tuition) kiitwacho Foluma Tuition Centre kilichopo Tarime Mkoani Mara akiwa darasani.Kituo cha Masomo ya Ziada (Tuition) Foluma Tuition Centre kilichopo Bomani-Tarime Mkoani Mara ni mkombozi kwa wanafunzi wa darasa la awali pamoja na wanafunzi wa shule za Msingi na Sekondari wakati wa likizo.Kutana na Mwl.Hosea Daniel, Madam Elizabeth Daniel, Mwl.Evance Malaba pamoja na Mwl.Malima Mjinja kwa maendeleo ya mwanao kielimu.KWA...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Lishe bora ina nafasi katika maendeleo ya mwanafunzi

KWA mara ya kwanza kushiriki matembezi ya kuchangia chakula kwa watoto wa shule ilikuwa mwaka 2007, nilitembea kutoka ofisi za Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Matafa (WFP) karibu na ulipokuwa ubalozi wa Marekani hadi viwanja vya Karemjee.

Sikuchangia kiasi kikubwa cha fedha lakini niliamini moyoni kushiriki kwangu kulikuwa msaada mkubwa kwa watoto wa shule wanaoshinda na njaa, mpango huu hufanyika kila mwaka kwa lengo la kuchangisha fedha kutoka kampuni na watu binafsi ili...

 

11 years ago

Mwananchi

Madhara ya kuyapa kisogo masomo ya dini shuleni

Wazazi, walimu, viongozi na jamii kwa jumla kila mmoja analia kuhusu kuongezeka kwa mmomonyoko wa maadili nchini.

 

11 years ago

Michuzi

Nafasi za Masomo University of Oldenburg,Germany

Kwa wale wanaohitaji kujiunga na elimu ya juu nchini Ujerumani. Kuanzia B.A,Bsc,M.A mpaka Phd Watanzania tumieni nafasi hizi,chuo kinapokea wanafunzi hata kwa vijana wa Kitanzania walio maliza kidato cha sita wana nafasi ya kujiunga na chuo hiki,maelezo zaidi,Tafadhali wasiliana na anuani hii hapa chini:
 International Student Office Carl von Ossietzky Universität Oldenburg Ammerländer Heerstr. 114-118, 26129 Oldenburg Germany Simu :+49-(0)441-798-2479fax    : +49(0)441 7982461 Pia fomu za...

 

10 years ago

Vijimambo

Elimu haina mwisho.. “Nafasi za Masomo China"

Kuna fursa ya kujiendeleza kimasomo Nchini China, ambapo muombaji anaomba moja kwa moja kupitia mtandao. Zipo fursa katika vyuo mbalimbali, fursa ambazo maelezo yake yajitosheleza ni kwa Chuo cha Beijing Insitute of Technology(BiT) na University of International Business and Economics(UIBE).
Lugha ya kufundishia:
Kiingereza(English) ndio lugha ambayo wanatumia kufundishia, isipokuwa ukihitaji kusoma kwa kichina pia hiyo fursa ipo.

🏤Beijing Insitute of Technology(BiT)

Master's Degree Programs in...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani