MWALIMU HOSEA DANIEL KUTOKA FOLUMA TUITION CENTRE AELEZA UMUHIMU WA MASOMO YA ZIADA.
Pichani ni Mwalimu Hosea Daniel kutoka Kituo cha Masomo ya Ziada (Tuition) kiitwacho Foluma Tuition Centre kilichopo Tarime Mkoani Mara akiwa darasani.
Kituo cha Masomo ya Ziada (Tuition) Foluma Tuition Centre kilichopo Bomani-Tarime Mkoani Mara ni mkombozi kwa wanafunzi wa darasa la awali pamoja na wanafunzi wa shule za Msingi na Sekondari wakati wa likizo.Kutana na Mwl.Hosea Daniel, Madam Elizabeth Daniel, Mwl.Evance Malaba pamoja na Mwl.Malima Mjinja kwa maendeleo ya mwanao kielimu.KWA...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi16 Feb
Masomo ya ziada yana nafasi katika maendeleo ya mwanao shuleni
11 years ago
Habarileo22 May
Waziri aeleza umuhimu wa Ukimwi kwenye mitaala
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema upo umuhimu wa masuala ya Ukimwi kuingizwa katika mitaala shule za msingi pamoja na vyuo vya madrasat.
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-QhZAO3wvMC0/U-2Y6P6jyXI/AAAAAAAF_uM/TpVMHDq-QZM/s72-c/unnamed%2B(10).jpg)
Masele aeleza umuhimu wa sayansi Afrika, ataka vijana kushirikishwa katika maamuzi
10 years ago
Michuzi16 Mar
10 years ago
Daily News19 Mar
Mkapa inaugurates Mwalimu Nyerere Centre
Daily News
FORMER President Benjamin Mkapa on Wednesay officially launched the Mwalimu Nyerere Centre (NRC) housed at the Commission for Science and Technology (COSTECH) in Dar es Salaam. The event will also include a two-day exhibition of photographs ...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-L70a4CirU6E/VNISR74zlHI/AAAAAAAHBnE/De7myTO9r1s/s72-c/Untitled.png)
COSTECH TO ESTABLISH MWALIMU NYERERE RESOURCE CENTRE
The Centre according to the Agreement inked in the city on Monday,is a semi-autonomous body under COSTECH with own organs of governance and full authority to run its programmes.
The Agreement also stipulates that the Centre will provide a forum to organize conferences, seminars and other opportunities for...
10 years ago
Dewji Blog01 Dec
Hongera Mwalimu Dr. Nelson Ishengoma kwa kuhitimu masomo ya Shahada ya Udaktari
Dr Nelson Ishengoma akiwa katika pozi mara baada ya kutunukiwa shahada yake ya udaktari katika Mahafali ya Tano ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) yaliyofanyika jana katika viwanja vya Chimwaga vilivyopo Chuoni hapo.
Hongera sana Mwalimu wangu na sasa Mwanzo wa Jina linaanza na Dr. Sio kazi rahisi lakini Mungu ameweza kukusimamia na kukuongoza. Nakuombea kwa Mungu ufanikiwe zaidi na zaidi. Kutoka Kwa Mwanafunzi wako Josephat Lukaza.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-V1ydy5SgsUo/VHtkYmTaifI/AAAAAAAAdJc/5lRzQSUV2FM/s72-c/ishew.jpg)
HONGERA MWALIMU WANGU DR NELSON ISHENGOMA KWA KUHITIMU MASOMO YA SHAHADA YA UDAKTARI
![](http://1.bp.blogspot.com/-V1ydy5SgsUo/VHtkYmTaifI/AAAAAAAAdJc/5lRzQSUV2FM/s1600/ishew.jpg)
Kutoka Kwa Mwanafunzi wako Josephat Lukaza
10 years ago
Michuzi04 Dec
semina kubwa ya neno la Mungu kutoka kwa DANIEL MOSES KULOLA -DALLAS TEXAS,
Daniel Kulola ni mtoto wa marehemu mzee Moses Kulola,mtumishi ambae ametoa mchango mkubwa sana wa injili katika Taifa letu kabla hajaenda kukaa na Bwana. Ili kuhakikisha kila mtu anapata nafasi ya kuhudhuria semina hii; kanisa...