Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HONGERA MWALIMU WANGU DR NELSON ISHENGOMA KWA KUHITIMU MASOMO YA SHAHADA YA UDAKTARI

Dr Nelson Ishengoma akiwa katika pozi mara baada ya kutunukiwa shahada yake ya udaktari katika Mahafali ya Tano ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) yaliyofanyika jana katika viwanja vya Chimwaga vilivyopo Chuoni hapo. Hongera sana Mwalimu wangu na sasa Mwanzo wa Jina linaanza na Dr. Sio kazi rahisi lakini Mungu ameweza kukusimamia na kukuongoza. Nakuombea kwa Mungu ufanikiwe zaidi na zaidi. 
Kutoka Kwa Mwanafunzi wako  Josephat Lukaza

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Hongera Mwalimu Dr. Nelson Ishengoma kwa kuhitimu masomo ya Shahada ya Udaktari

ishew

Dr Nelson Ishengoma akiwa katika pozi mara baada ya kutunukiwa shahada yake ya udaktari katika Mahafali ya Tano ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) yaliyofanyika jana katika viwanja vya Chimwaga vilivyopo Chuoni hapo.

 Hongera sana Mwalimu wangu na sasa Mwanzo wa Jina linaanza na Dr. Sio kazi rahisi lakini Mungu ameweza kukusimamia na kukuongoza. Nakuombea kwa Mungu ufanikiwe zaidi na zaidi. Kutoka Kwa Mwanafunzi wako  Josephat Lukaza.

 

5 years ago

BBCSwahili

Sungura huenda akapata shahada kwa kuhudhuria masomo

Mwanafunzi wa chuo kikuu asisitiza sungura wake kupewa shahada baada ya kuhudhuria masomo

 

11 years ago

GPL

GIGGS AMETUNUKIWA SHAHADA YA UDAKTARI WA SAYANSI

Aliyekuwa mchezaji na Kocha Msaidizi wa Manchester United, Ryan Giggs ametunukiwa Shahada ya Udaktari wa Sayansi kutoka Chuo Kikuu cha Bolton, England kutokana na mchango wake mkubwa katika mchezo wa soka. Giggs kwa sasa atajulikana kama Dk.Giggs kutokana na heshima hiyo kubwa aliyoipata.  

 

10 years ago

GPL

KANYE WEST ATUNUKIWA SHAHADA YA UDAKTARI WA HESHIMA

RAPPA Kanye West wa nchini Marekani jana ametunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima kutoka Taasisi ya Sanaa ya Chicago nchini Marekani. Kanye akitoa hotuba yake katika taasisi hiyo. Kanye West aliyeacha chuo akiwa na umri wa miaka 20 na kuamua kuingia kwenye muziki kisha kutoa albamu yake ya kwanza iliyokwenda kwa jina la 'The College Dropout' kwa sasa atakuwa akiitwa Dk. West. Kanye hakuweza kuficha furaha yake kwa kuachia...

 

10 years ago

Michuzi

Askofu Dk. Charles Gadi atawazwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Habari Njema kwa Wote Tanzania, atunukiwa shahada mbili za udaktari Bagamoyo

 Maaskofu kutoka nchi mbalimbali wakiwasili katika viwanja vya Kanisa la Habari Njema kwa Wote, lililopo mpakani mwa Dar es Salaam na Bagamoyo, ambako kulifanyika sherehe za kumtawaza na kumtunuku shahada mbili za udaktari Askofu Dk. Charles Gadi Jumapili

Moja ya kikundi cha kwaya ambazo zilitumbuiza katika hafla hiyo.


 Askofu Gadi akisimikwa na Maaskofu mbalimbali kutoka nje na nchini Jumapili

 Askofu Gadi akivikwa kofia kuashiria kutawazwa kuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Habari Njema kwa Wote...

 

9 years ago

Michuzi

WANAFUNZI 70 WA UHANDISI NA UDAKTARI KUONDOKA NCHINI SEPTEMBA 22, 2015 KWENDA KWA MASOMO NCHINI CHINA

Mkurugenzi wa Global Link Education (GEL) ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya nchi, Abdulmaliki Mollel akitoa maelezo katika semina ya kuwajengea uwezo wazazi na wanafunzi wanaokwenda kusoma Vyuo Vikuu vya China leo katika ofisi zao zilizopo viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Wanafunzi wakilipia tisheti kwa ajili ya sare ya kutambuana wakati wa safari ya kwenda katika vyuo vya China katika semina ya kuwajengea uwezo wazazi na...

 

10 years ago

Bongo5

Davido kuhitimu shahada ya kwanza mwezi June 2015, ni baada ya kuacha shule mwaka 2011 kwaajili ya muziki

Staa wa Nigeria, David ‘Davido’ Adeleke ambaye anatokea kwenye familia bora na aliyepata mafanikio makubwa kupitia muziki, aliwahi kuacha shule mwaka 2011 ili afanye muziki. Lakini baada ya kupata ushauri na kugundua umuhimu wa elimu alikubali kurudi shule na hatimaye sasa anakaribia kuhitimu. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Davido ameshare furaha yake ya kumaliza mitihani […]

 

11 years ago

Dewji Blog

Askofu Sixbert Paul wa Kanisa la Victorious kutunukia Shahada ya Udaktari ya Huduma Jumapili hii

askofu 1

Askofu Sixbert Paul wa kanisa la Victorious la mjini Moshi akizungumza na wandishi wa habari kuhusiana na hafla ya kutunukiwa shahada la udaktari ya huduma.

askofu 2

Waandishi wa habari wakimsikiliza kwa makini, Askofu Sixbert Paul wa kanisa la Victorious la mjini Moshi akizungumza na wandishi wa habari kuhusiana na hafla ya kutunukiwa shahada la udaktari ya huduma litakalofanyika Jumapili hii.

askofu 3

Askofu Sixbert Paul wa kanisa la Victorious la mjini Moshi akizungumza na wandishi wa habari kuhusiana...

 

9 years ago

StarTV

Masomo Ya Sayansi Ya Kijeshi  TMA, IAA kuanzishwa ngazi ya shahada, stashahada

 

Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi TMA kimesaini mkataba wa makubaliano na chuo cha IAA wa kuanzishwa program ya shahada pamoja na stashahada ya uzamili ya  masomo ya sayansi ya kijeshi.

Programu hiyo ina lengo la kuzalisha maofisa watakaokuwa na weledi katika kufikiri na kutekeleza wajibu wao kwenye masuala ya ulinzi.

Makubaliano hayo yamesainiwa na mkuu wa chuo cha mafunzo ya kijeshi kilichopo Monduli mkoani Arusha Meja Jenerali Paul Masao na mkuu wa taasisi ya mafunzo ya uhasibu iliyopo mkoani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani