Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANAFUNZI 70 WA UHANDISI NA UDAKTARI KUONDOKA NCHINI SEPTEMBA 22, 2015 KWENDA KWA MASOMO NCHINI CHINA

Mkurugenzi wa Global Link Education (GEL) ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya nchi, Abdulmaliki Mollel akitoa maelezo katika semina ya kuwajengea uwezo wazazi na wanafunzi wanaokwenda kusoma Vyuo Vikuu vya China leo katika ofisi zao zilizopo viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Wanafunzi wakilipia tisheti kwa ajili ya sare ya kutambuana wakati wa safari ya kwenda katika vyuo vya China katika semina ya kuwajengea uwezo wazazi na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WANAFUNZI 65 KUONDOKA KWA MASOMO NCHINI CHINA

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.KAMPUNI ya  Global Link Education imeendelea kupeleka wanafunzi kwenda kusoma vyuo vya nje vilivyo na uwezo kutoa elimu bora.
Hayo ameyasema leo Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Link Education (GEL),Abdumaalik Mollel wakati akitoa mafunzo kwa wanafunzi 65 wanaokwenda nchini China kwa masomo ya elimu ya juu.
Mollel amesema vyuo vya nje ambavyo vinashirikiana na GEL vina ubora wa elimu pamoja na kuwa na vitendea kazi vinavyoweza kufanya mwanafunzi afanye...

 

10 years ago

GPL

WIZARA YA NISHATI NA MADINI YATANGAZA UFADHILI WA MASOMO NCHINI CHINA KWA MWAKA 2015

Msemaji wa Wizara ya Nishati na Madini, Badra Masoud akizungumza na wanahabari.   Msemaji wa Wizara ya Nishati na Madini, Badra Masoud akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu ufadhili wa masomo nchini China kwa mwaka 2015. Kulia ni Ofisa Habari wa Maelezo, Fatma Salum.…

 

9 years ago

Michuzi

HAFLA YA JUMUIYA YA WANAFUNZI WA TANZANIA WUHAN-CHINA (WUTASA) KUWAKARIBISHA WANAFUNZI WAPYA MWAKA WA MASOMO 2015/16

1Picha ya pamoja ya wanafunzi wapya na wazamani. Walioketi mbele kutoka kushoto ni viongozi wa Wutasa, Gelas Rubakula (Naibu Katibu), Ally Salum (Katibu), Rajab Jafar (Makamu Mwenyekiti), Abel Masanja (Mwenyekiti) na Thomas Mtaki (Mwenyekiti Mstaafu).2Picha ya pamoja ya wanafunzi wapya. Walioketi mbele kutoka kushoto ni viongozi wa Wutasa, Gelas Rubakula (Naibu Katibu), Ally Salum (Katibu), Rajab Jafar (Makamu Mwenyekiti), Abel Masanja (Mwenyekiti) na Thomas Mtaki (Mwenyekiti Mstaafu).3

 

11 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WANAOCHUKUA MASOMO YA SHAHADA YA UZAMILI NA UZAMIVU KATIKA RELI KUTOKA CHUO KIKUU CHA SOUTHWEST JIATONG CHA NCHINI CHINA WATEMBELEA WIZARA YA UCHUKUZI LEO

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Bi. Monica Mwamunyange akibadilishana kadi na Profesa Liu Xueyi kutoka Chuo kikuu cha Southwest Jiatong, wakati mkufunzi huyo na wanafunzi wa chuo hicho walipotembelea wizara ya Uchukuzi leo mchana kujifunza na kubadilishana uzoefu katika masuala ya reli hasa reli ya mwendo kasi.

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Bi Monica Mwamunyange, akifafanua jambo kwa Wakufunzi na wanafunzi wanaochukua shahada za Uzamili na Uzamivu katika Reli kutoka Chuo...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Kiongozi Ombeni Sefue awaaga Wanafunzi wa Tanzania waliopata Ufadhili wa masomo nchini Uholanzi

Katibu Mkuu Kiongozi Ombeni Sefue akitoa nasaha zake kwa wanafunzi (watanzania) waliopata udhamini kamili wa masomo nchini Uholanzi wakati wa hafla ya kuwaaga wanafunzi hao iliyofanyika 21 Agosti, 2014 nyumbani kwa Balozi eneo la Oysterbay Jijini Dar es Salaam.Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania, Mhe. Jaap Frederiks akitoa hotuba yake kwa wanafunzi (watanzania) waliopata udhamini kamili wa masomo nchini Uholanzi wakati wa hafla ya kuwaaga wanafunzi hao iliyofanyika 21 Agosti, 2014...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MAMBO YA NJE NCHINI CHINA AFAFANUA SABABU ZA KUBAGULIWA KWA BAADHI YA WAAFRIKA NCHINI HUMO


Mabalozi wa Nchi za Afrika wamekutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China China Mhe. CHEN Xiaoding kuzungumzia changamoto zinazowakabili baadhi ya raia wa Mataifa ya Afrika katika Mji wa Guangzhou uliopo katika Jimbo la Guangdong.




Na Leandra Gabriel, Michuzi TV

NAIBU Waziri wa mambo ya nje wa Jamhuri ya watu wa China Chen Xiaoding amekutana na mabalozi wa nchi za Afrika akiwemo balozi wa Tanzania nchini humo Mbelwa Kairuki na kufafanua taarifa na changamoto...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani