Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MARION : Mapishi yana nafasi kubwa katika maisha

Marion Elias siyo jina geni kwa watazamaji wa runinga hususan ITV. Licha ya kuwa mwanadada huyu alikuwa akitangaza vipindi kadha wa kadha, lakini nyota yake ilionekana kung’ara zaidi katika Kipindi cha Mapishi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Masomo ya ziada yana nafasi katika maendeleo ya mwanao shuleni

Kama mzazi au mlezi umewahi kufikiri umuhimu wa kumwanzisha mtoto wako kwenye mapango wa masomo ya ziada.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Msoka: Wanawake wana nafasi kubwa kukuza uchumi

WANAWAKE ndio nguzo kuu katika kukuza uchumi wa nchi kutokana na majukumu wanayofanya kila siku, ingawa kumekuwepo na dhana kwamba wanawake hawana mchango wa kukuza uchumi. Katika kuhakikisha wanawake wanatambulika...

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto: Iko siku nitashika nafasi kubwa Tanzania

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe amesema kutimuliwa uanachama na Chadema ni dhoruba inayomkumba mwanasiasa yeyote anayefanikiwa na kwamba iko siku atashika “nafasi kubwa ya uongozi ya kuwatumikia Watanzania”.

 

11 years ago

Michuzi

WAZAZI WANAYO NAFASI KUBWA KUINUA KIWANGO CHA ELIMU - MKUU WA WILAYA YA CHATO

 Mkuu wa Wilaya ya Chato Mhe. Rodrick Mpogolo amesema wazazi kwa kushirikiana na walimu wanayo nafasi kubwa katika kuhakikisha elimu Wilayani Chato inaboreka. Ameyasema hayo  wakati akifungua kikao cha wadau wa elimu Wilayani Chato kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Halamshauri hiyo.  Mhe. Mpogolo amesema si muda muafaka sasa wa kumwachia mwalimu kuhusu masuala yote ya elimu bali kila mtu hasa mzazi anayo nafasi kubwa ya kuhakikisha mtoto anapata mahitaji yote ya kielimu.  “Maadili...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania kutoa nafasi zaidi kuwezesha Wakimbizi kuwa na maisha ya kawaida

DSC_0009

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Mathias Chikawe (kulia) akiwasili kwenye uwanja wa ndege Kigoma akiwa ameambatana na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez (hayupo pichani) pamoja na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mtaifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), Joyce Mends-Cole (wa pili kulia) na kupokelewa na Kaimu Mkuu wa mkoa wa Kigoma ambaye pia ni Katibu Tawala wa mkoa huo, Mhandisi Dkt. John Ndunguru (wa pili...

 

9 years ago

Michuzi

ELIMU YA STADI ZA MAISHA KUOKOA KUNDI KUBWA LA VIJANA WALIO NJE YA SHULE

Afisa vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Godfrey Massawe (aliyesimama) akifuatilia majadiliano ya wawezeshaji kitaifa wakati wa kazi za kikundi kwenye Mafunzo ya Uwezeshaji wa Stadi za Maisha yaliyofanyika Kanda ya Ziwa.


Na: Genofeva Matemu - Maelezo

ILIGUNDULIKA kuwa ulimwenguni kote na hususan nchini Tanzania, Vijana walio nje ya shule ni miongoni mwa makundi yaliyo katika hatari ya magonjwa yanayoenea kwa njia ya ngono, VVU na UKIMWI kwa kutokuwa na taarifa na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Wanafunzi wanaojihusisha katika biashara ya ngono kugharamia maisha yao katika vyuo vikuu

Idadi inayoongezeka ya wanafunzi huuza picha za utupu na mengineyo katika mitandao ili kugharamia maisha yao katika vyuo vikuu, utafiti umebaini.

 

11 years ago

Mwananchi

Nafasi ya shampoo katika nywele

Matumizi ya bidhaa mbalimbali yamekuwa yakifanyika kutokana na mazoea tu. Wakati mwingine imekuwa ni vigumu kwa mtumiaji husika kueleza, umuhimu au faida za bidhaa anayoitumia.

 

11 years ago

Mwananchi

Nafasi ya wazazi katika mavazi ya mtoto

Katika maisha ya familia ndani ya jamii ni muhimu kwa mzazi kujenga utamaduni wa kumfunza watoto wako namna bora ya uvaaji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani