Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanafunzi wanaojihusisha katika biashara ya ngono kugharamia maisha yao katika vyuo vikuu

Idadi inayoongezeka ya wanafunzi huuza picha za utupu na mengineyo katika mitandao ili kugharamia maisha yao katika vyuo vikuu, utafiti umebaini.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TAMKO LA UONGOZI WA SERIKALI ZA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU DODOMA KULAANI KUHUSISHWA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU VYA DODOMA NA KUMUOMBA MH. LOWASA KUGOMBEA URAIS.

Huyu si ndiyo alisema ni raisi wa wanafunzi na sauti zao hapa chini iweje leo waandike barua ya kujikana?. Siasa za bongo ni chenga kweli yani wala siyo {HD}

Tamko la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Dodoma Kulaani Kuhusishwa Kwao Kumshawishi Lowassa Kuchukua Form ya Uraisi
Ndugu Waandishi wa habari, Tunapenda kutanguliza shukrani za dhati kwenu kwa kufika katika eneo hili kutusikiliza.Mbele yenu ni viongozi wa serikali za wanafunzi kutoka Vyuo vikuu mbalimbali vilivyopo mkoani Dodoma.Ndugu waandishi...

 

10 years ago

Vijimambo

ZAIDI WANAFUNZI 100 WAPEWA SEMINA YA KUWAJENGEA UWEZO KUANZA SAFARI YA MASOMO KATIKA VYUO VIKUU VYA INDIA NA CHINA

Mkurugenzi wa Global Link Education (GEL) ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya nchi, Abdulmaliki Mollel akitoa maelezo katika semina ya kuwajengea uwezo wazazi na wanafunzi wanaokwenda kusoma Vyuo Vikuu vya India na China leo katika ofisi zao zilizopo viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
 Meneja Mkuu wa Global Link Education (GEL) ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya nchi, David Nsimba akitoa semina ya kuwajengea uwezo wanafunzi wanaokwenda kusoma ...

 

10 years ago

GPL

KONGAMANO LA WANAFUNZI WA VITIVO VYA MASOKO NA BIASHARA VYUO VIKUU VYA DAR LILIVYOFANA

Mwenyekiti wa Chama cha wanafunzi wanaosoma Kitivo cha Masoko cha Chuo Kikuu UDSM ( DUMA ) Dkt. Uliwmengu akitoa historia fupi ya Tuzo za ACHIVERS AWARDS  katika  kongamano la wanafunzi wanaaosoma Kitivo cha Masoko na Biashara lilifofanyika Jumamosi iliyopita UDSM na kukutanisha wanataaluma wengi pia wajasiriamali waliofanikiwa na kuweza kukutanisha vyuo mbalimbali ikwemo UDSM , IFM, CBE, na TIA. Mkurunezi wa IPP media Dr...

 

9 years ago

Michuzi

VYUO VIKUU NCHINI KUNOANA KATIKA KONGAMANO LA ELIMU YA JUU 2015 JIJINI ARUSHA

  Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU), Profesa Yunus Mgaya akizungumza na waandishi habari leo kuhusu kongamano la saba la elimu ya juu 2015 linalotarajiwa kufanyika jijini Arusha kuanzia Oktoba 1-2, 2015. Pembeni ni Thea Mtau (kulia) na Cosmas Mwasoibya ambao ni wajumbe wa Kamati ya Maandalizi.  Waandsihi wakimsikiliza   Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU), Profesa Yunus Mgaya katika mkutano na waandsihi wa habari uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Na...

 

9 years ago

Michuzi

BARAZA LA VYUO VIKUU AFRIKA MASHARIK(IUCEA)KUWA NA MAONESHO YA VYUO VIKUU UGANDA

Katibu Mtendaji wa Baraza la Vyuo Vikuu Afrika Mashariki(IUCEA)Profesa Mayunga Nkunya akizungumza na waandishi wa habari Jijini Arusha jana kuhusu hali ya wahitimu katika nchi za Afrika Mashariki na ushirikiano wa Baraza la Wafanyabiashara Afrika Mashariki(EABC) kuwajengea uwezo wahitimu ili kumudu soko la ajira .Taasisi hiyo itakuwa na maonesho ya vyuo katika nchi za EAC  Kampala ,Uganda mwezi Oktoba ,2015.Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Wafanyabiashara wa Afrika...

 

11 years ago

Habarileo

'Wanafunzi vyuo vikuu acheni ukahaba'

WANAFUNZI wa vyuo vikuu nchini wameshauriwa kuacha kujihusisha katika biashara zisizofaa za kuuza miili yao kwa kisingizio cha ugumu wa maisha. Rai hiyo ilitolewa hivi karibuni na Mwenyekiti wa Shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na vijana lijulikanalo kama Restless Development, Joseph Bukula, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi wa upimaji afya kwa hiari uliofanyika katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).

 

10 years ago

Vijimambo

AAMBUKIZA UKIMWI WANAFUNZI 712 WA VYUO VIKUU.

 Kijana mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la Rogers (pichani) raia wa Uganda amekiri kufanya ngono na wanafunzi 712 wa vyuo vikuu mbalimbali nchini Tanzania na Uganda na kuwaambukiza virusi vya UKIMWI kwa kipindi cha miaka mitatu. Rogers amesema alipogundua ana maambukizi ya HIV mwaka 2012 aliamua kulipiza kisasi kwa kuambukiza wasichana wengi kadri iwezekanavyo. Hadi kufikia mwaka huu alikwisha ambukiza wasichana 712 wote wakiwa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu kutoka Tanzania na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani