AAMBUKIZA UKIMWI WANAFUNZI 712 WA VYUO VIKUU.
Kijana mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la Rogers (pichani) raia wa Uganda amekiri kufanya ngono na wanafunzi 712 wa vyuo vikuu mbalimbali nchini Tanzania na Uganda na kuwaambukiza virusi vya UKIMWI kwa kipindi cha miaka mitatu. Rogers amesema alipogundua ana maambukizi ya HIV mwaka 2012 aliamua kulipiza kisasi kwa kuambukiza wasichana wengi kadri iwezekanavyo. Hadi kufikia mwaka huu alikwisha ambukiza wasichana 712 wote wakiwa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu kutoka Tanzania na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo27 Mar
TAMKO LA UONGOZI WA SERIKALI ZA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU DODOMA KULAANI KUHUSISHWA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU VYA DODOMA NA KUMUOMBA MH. LOWASA KUGOMBEA URAIS.
Tamko la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Dodoma Kulaani Kuhusishwa Kwao Kumshawishi Lowassa Kuchukua Form ya Uraisi
Ndugu Waandishi wa habari, Tunapenda kutanguliza shukrani za dhati kwenu kwa kufika katika eneo hili kutusikiliza.Mbele yenu ni viongozi wa serikali za wanafunzi kutoka Vyuo vikuu mbalimbali vilivyopo mkoani Dodoma.Ndugu waandishi...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-XcePV_Yy6lE/Vf1AKL6rpBI/AAAAAAAAEw0/yzBk8qJSFxQ/s72-c/mayunga.jpg)
BARAZA LA VYUO VIKUU AFRIKA MASHARIK(IUCEA)KUWA NA MAONESHO YA VYUO VIKUU UGANDA
![](http://4.bp.blogspot.com/-XcePV_Yy6lE/Vf1AKL6rpBI/AAAAAAAAEw0/yzBk8qJSFxQ/s640/mayunga.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-rnigzh6SSHM/Vf1AQbyI4QI/AAAAAAAAEw8/YKu2tZEAGRM/s640/eabc.jpg)
11 years ago
Habarileo11 Dec
'Wanafunzi vyuo vikuu acheni ukahaba'
WANAFUNZI wa vyuo vikuu nchini wameshauriwa kuacha kujihusisha katika biashara zisizofaa za kuuza miili yao kwa kisingizio cha ugumu wa maisha. Rai hiyo ilitolewa hivi karibuni na Mwenyekiti wa Shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na vijana lijulikanalo kama Restless Development, Joseph Bukula, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi wa upimaji afya kwa hiari uliofanyika katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
11 years ago
Habarileo16 Dec
Wanafunzi vyuo vikuu Z’bar wanusurika ajalini
WANAFUNZI wa Vyuo Vikuu vya Zanzibar leo wamenusurika kufa baada ya gari walilokuwa wamepanda kupinduka wakati wakitoka katika michezo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
11 years ago
Habarileo20 Jun
Wanafunzi 39,000 vyuo vikuu waomba mikopo
IKIWA zimebaki siku 10 kufungwa kwa shughuli ya kupokea maombi ya mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2014/2015, takribani wanafunzi 39,000 wameshatuma maombi yao kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).
11 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YASHIRIKI MAONESHO YA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU
10 years ago
Mwananchi11 Jun
BVR Isiwanyime fursa wanafunzi wa vyuo vikuu kama 2010
9 years ago
Dewji Blog06 Nov
HESLB yajivua lawama wanafunzi vyuo vikuu kukosa mikopo 2015/2016
Na Mwandishi wetu
Zaidi ya wanafundi 50,000 watashindwa kuendelea na masomo ya elimu ya juu kutokana na kushindwa kupata mikopo kutoka katika Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB).
Hayo yamebainika ikiwa ni siku nne tangu HESLB kutoa majina ya wanafunzi waliofanikiwa kupata mikopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016, huku idadi kubwa ikiwa haimo katika majina hayo.
Katika mwaka huu wa masomo bodi ya mikopo imeweza kuwapatia mikopo wanafunzi 12,000 pekee sawa na 17.1% ya waombaji zaidi ya 70,000,...