BENKI YA CRDB YASHIRIKI MAONESHO YA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU
Baadhi ya wanafunzi wakipata maelezo katika banda la Benki ya CRDB wakati wa wakati wa maonesho kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo vikuu na kuandaliwa na Chama cha Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Tanzania (AIESEC), kwa ajili ya kuwasaidia wanafunzia kujifunza na kujitambua uwezo wao binafsi na mchango wao katika jamii.
Ofisa Rasilimali Watu wa Benki ya CRDB, Petro Kashindye (kushoto), akifafanua jambo wakati wa maonesho kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo vikuu na kuandaliwa na Chama cha Wanafunzi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-XcePV_Yy6lE/Vf1AKL6rpBI/AAAAAAAAEw0/yzBk8qJSFxQ/s72-c/mayunga.jpg)
BARAZA LA VYUO VIKUU AFRIKA MASHARIK(IUCEA)KUWA NA MAONESHO YA VYUO VIKUU UGANDA
![](http://4.bp.blogspot.com/-XcePV_Yy6lE/Vf1AKL6rpBI/AAAAAAAAEw0/yzBk8qJSFxQ/s640/mayunga.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-rnigzh6SSHM/Vf1AQbyI4QI/AAAAAAAAEw8/YKu2tZEAGRM/s640/eabc.jpg)
10 years ago
Vijimambo27 Mar
TAMKO LA UONGOZI WA SERIKALI ZA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU DODOMA KULAANI KUHUSISHWA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU VYA DODOMA NA KUMUOMBA MH. LOWASA KUGOMBEA URAIS.
Tamko la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Dodoma Kulaani Kuhusishwa Kwao Kumshawishi Lowassa Kuchukua Form ya Uraisi
Ndugu Waandishi wa habari, Tunapenda kutanguliza shukrani za dhati kwenu kwa kufika katika eneo hili kutusikiliza.Mbele yenu ni viongozi wa serikali za wanafunzi kutoka Vyuo vikuu mbalimbali vilivyopo mkoani Dodoma.Ndugu waandishi...
10 years ago
Dewji Blog28 Jul
Bodi ya mikopo ilivyoshiriki maonesho ya vyuo vikuu Jijini Dar Es Salaam
Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal akipokea maelezo kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kutoka kwa Ofisa wa HESLB Bi. Veneranda Malima katika maonesho ya vyuo vikuu yaliyomalizika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. (Picha na HESLB).
Ofisa wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa ELimu ya Juu (HESLB) Bw. Saleko Mandara (kushoto) akimwelekeza namna ya kujaza fomu ya kurejesha mkopo Bw. Suleiman Zidi Hisabu ambaye ni mwajiriwa wa Chuo...
11 years ago
Habarileo11 Dec
'Wanafunzi vyuo vikuu acheni ukahaba'
WANAFUNZI wa vyuo vikuu nchini wameshauriwa kuacha kujihusisha katika biashara zisizofaa za kuuza miili yao kwa kisingizio cha ugumu wa maisha. Rai hiyo ilitolewa hivi karibuni na Mwenyekiti wa Shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na vijana lijulikanalo kama Restless Development, Joseph Bukula, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi wa upimaji afya kwa hiari uliofanyika katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
10 years ago
Vijimambo27 May
AAMBUKIZA UKIMWI WANAFUNZI 712 WA VYUO VIKUU.
![](http://www.vodacop.com/images1/IMG_20140827_074135.jpg)
11 years ago
Habarileo16 Dec
Wanafunzi vyuo vikuu Z’bar wanusurika ajalini
WANAFUNZI wa Vyuo Vikuu vya Zanzibar leo wamenusurika kufa baada ya gari walilokuwa wamepanda kupinduka wakati wakitoka katika michezo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
11 years ago
Habarileo20 Jun
Wanafunzi 39,000 vyuo vikuu waomba mikopo
IKIWA zimebaki siku 10 kufungwa kwa shughuli ya kupokea maombi ya mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2014/2015, takribani wanafunzi 39,000 wameshatuma maombi yao kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).
10 years ago
Mwananchi11 Jun
BVR Isiwanyime fursa wanafunzi wa vyuo vikuu kama 2010