Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bodi ya mikopo ilivyoshiriki maonesho ya vyuo vikuu Jijini Dar Es Salaam

HESLB TCU 1

Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal akipokea maelezo kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kutoka kwa Ofisa wa HESLB Bi. Veneranda Malima katika maonesho ya vyuo vikuu yaliyomalizika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. (Picha na HESLB).

HESLB TCU 2

Ofisa wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa ELimu ya Juu (HESLB) Bw. Saleko Mandara (kushoto) akimwelekeza namna ya kujaza fomu ya kurejesha mkopo Bw. Suleiman Zidi Hisabu ambaye ni mwajiriwa wa Chuo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

BARAZA LA VYUO VIKUU AFRIKA MASHARIK(IUCEA)KUWA NA MAONESHO YA VYUO VIKUU UGANDA

Katibu Mtendaji wa Baraza la Vyuo Vikuu Afrika Mashariki(IUCEA)Profesa Mayunga Nkunya akizungumza na waandishi wa habari Jijini Arusha jana kuhusu hali ya wahitimu katika nchi za Afrika Mashariki na ushirikiano wa Baraza la Wafanyabiashara Afrika Mashariki(EABC) kuwajengea uwezo wahitimu ili kumudu soko la ajira .Taasisi hiyo itakuwa na maonesho ya vyuo katika nchi za EAC  Kampala ,Uganda mwezi Oktoba ,2015.Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Wafanyabiashara wa Afrika...

 

5 years ago

Michuzi

BODI YA MIKOPO YATAKIWA KUWA TAYARI KUTOA MIKOPO KWA WANAFUNZI PINDI VYUO VITAKAPOFUNGULIWA

 Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Joyce Ndalichako akizungumza na Menejimenti ya Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa elimu ya Juu (hawapo pichani)wakati alipofanya ziara Leo Jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya Juu Abdul-Razaq Badru akizungumza wakati  Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako alipofanya ziara katika ofisi zao  zilizopo eneo la Tazara jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya...

 

11 years ago

Habarileo

‘Wahitimu vyuo vikuu rejesheni mikopo’

KUKOSA ajira kwa wahitimu wa vyuo vya elimu ya juu, ambao walinufaika na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (Heslb), siyo sababu ya mhusika kutorejesha fedha zilizotumika kumsomesha; imeelezwa. Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari, Elimu na Mawasiliano, Cosmas Mwaisobwa alisema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu shughuli za bodi hiyo.

 

11 years ago

Habarileo

Wanafunzi 39,000 vyuo vikuu waomba mikopo

IKIWA zimebaki siku 10 kufungwa kwa shughuli ya kupokea maombi ya mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2014/2015, takribani wanafunzi 39,000 wameshatuma maombi yao kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).

 

10 years ago

Michuzi

CHUO CHA WAISLAM MOROGORO WASHIRKI MAONYESHO YA VYUO VIKUU JIJINI DAR

Chuo cha  Waislam Morogoro kimeshiriki maonyesho ya vyuo vikuu yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere maarufu kama Sabasaba jijini Dar es Salaam kilianzishwa mwaka 2005 na mpaka sasa kina miaka 10 kinatoa kozi mbalimbali kwa wanafunzi wanaojiunga katika chuo hicho. Afisa mahusiano wa chuo cha Waislam Morogoro, Ngaja Mussa akimwonyesha Mkufunzi mkuu wa chuo cha Waislam Morogoro, Faraji Tamim wakati wa maonyesho ya wiki ya vyuo vikuu yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu...

 

11 years ago

Dewji Blog

Global Education Link kusaidia mikopo vyuo vikuu

IMG_7289

Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya Global Education Link (GEL), Abdumaliki Molle.

Na Mwandishi wetu

TAASISI ya Global Education Link (GEL), inayojishughulisha na masuala ya elimu ya juu, imesema ipo tayari kutoa mikopo kwa wazazi na walezi wanaohitaji watoto wao kwenda kusoma vyuo vikuu nje ya nchi, ili kuwezesha vijana kuingia katika soko la ajira duniani.

Kauli hiyo imetolewa juzi na Mkurugenzi wa Udahiri wa taasisi hiyo, Zakiah Nassoro, alipozungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza,...

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YASHIRIKI MAONESHO YA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU

 Baadhi ya wanafunzi wakipata maelezo katika banda la Benki ya CRDB wakati wa  wakati wa maonesho kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo vikuu na kuandaliwa na Chama cha Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Tanzania (AIESEC), kwa ajili ya kuwasaidia wanafunzia kujifunza na kujitambua uwezo wao binafsi na mchango wao katika jamii.  Ofisa Rasilimali Watu wa Benki ya CRDB, Petro Kashindye (kushoto), akifafanua jambo wakati wa maonesho kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo vikuu na kuandaliwa na Chama cha Wanafunzi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani