Global Education Link kusaidia mikopo vyuo vikuu
Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya Global Education Link (GEL), Abdumaliki Molle.
Na Mwandishi wetu
TAASISI ya Global Education Link (GEL), inayojishughulisha na masuala ya elimu ya juu, imesema ipo tayari kutoa mikopo kwa wazazi na walezi wanaohitaji watoto wao kwenda kusoma vyuo vikuu nje ya nchi, ili kuwezesha vijana kuingia katika soko la ajira duniani.
Kauli hiyo imetolewa juzi na Mkurugenzi wa Udahiri wa taasisi hiyo, Zakiah Nassoro, alipozungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza,...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-kS85ARzrZvA/VbsHdDD8XRI/AAAAAAABj8s/XD6botONAgY/s72-c/posta%2Barusha.jpeg)
10 years ago
Dewji Blog31 Jul
9 years ago
Dewji Blog29 Oct
Global Education Link (GEL) yapeleka wanafunzi 65 kusoma vyuo vikuu nchini China
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Global Education Link (GEL), Abdulmalik Mollel akiwa ameambatana na wafanyakazi wa kampuni hiyo kwa ajili ya kuwasindikiza wanafunzi wanaokwenda kusoma vyuo vikuu nchini China mapema jana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Global education link (GEL) Abdulmalik Mollel akiwaita majina wanafunzi wanaokwenda kusoma vyuo vikuu nchini China mapema jana katika Uwanja...
10 years ago
MichuziWAZAZI NA WANAFUNZI WAIPONGEZA GLOBAL EDUCATION LINK KWA KUWAPATIA VYUO BORA VYA NJE YA NCHI
Mkurugenzi wa Global Education Link ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya nchi, Bw. Abdulmalik Mollel akiongea na Mwanafunzi ambae aliambatana na wazazi wake (kulia) kupata huduma ya vyuo vya nje ya nchi katika ofisi yao iliyopo ndani ya maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Bw. Sourabh Chaudhary ambaye Meneja Miradi wa Chuo Kikuu cha Lovely cha nchini India naAfisa Masoko...
10 years ago
MichuziGLOBAL EDUCATION LINK YAVIALIKA VYUO KIKUU VYA SHARDA NA LOVELY PROFESSIONAL VYA INDIA KUSHIRIKI MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR
11 years ago
Habarileo20 Mar
‘Wahitimu vyuo vikuu rejesheni mikopo’
KUKOSA ajira kwa wahitimu wa vyuo vya elimu ya juu, ambao walinufaika na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (Heslb), siyo sababu ya mhusika kutorejesha fedha zilizotumika kumsomesha; imeelezwa. Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari, Elimu na Mawasiliano, Cosmas Mwaisobwa alisema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu shughuli za bodi hiyo.
11 years ago
Habarileo20 Jun
Wanafunzi 39,000 vyuo vikuu waomba mikopo
IKIWA zimebaki siku 10 kufungwa kwa shughuli ya kupokea maombi ya mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2014/2015, takribani wanafunzi 39,000 wameshatuma maombi yao kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).
10 years ago
Dewji Blog28 Jul
Bodi ya mikopo ilivyoshiriki maonesho ya vyuo vikuu Jijini Dar Es Salaam
Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal akipokea maelezo kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kutoka kwa Ofisa wa HESLB Bi. Veneranda Malima katika maonesho ya vyuo vikuu yaliyomalizika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. (Picha na HESLB).
Ofisa wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa ELimu ya Juu (HESLB) Bw. Saleko Mandara (kushoto) akimwelekeza namna ya kujaza fomu ya kurejesha mkopo Bw. Suleiman Zidi Hisabu ambaye ni mwajiriwa wa Chuo...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-XcePV_Yy6lE/Vf1AKL6rpBI/AAAAAAAAEw0/yzBk8qJSFxQ/s72-c/mayunga.jpg)
BARAZA LA VYUO VIKUU AFRIKA MASHARIK(IUCEA)KUWA NA MAONESHO YA VYUO VIKUU UGANDA
![](http://4.bp.blogspot.com/-XcePV_Yy6lE/Vf1AKL6rpBI/AAAAAAAAEw0/yzBk8qJSFxQ/s640/mayunga.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-rnigzh6SSHM/Vf1AQbyI4QI/AAAAAAAAEw8/YKu2tZEAGRM/s640/eabc.jpg)