Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zitto: Iko siku nitashika nafasi kubwa Tanzania

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe amesema kutimuliwa uanachama na Chadema ni dhoruba inayomkumba mwanasiasa yeyote anayefanikiwa na kwamba iko siku atashika “nafasi kubwa ya uongozi ya kuwatumikia Watanzania”.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Zimbabwe iko kwenye janga kubwa la njaa linalosababishwa na binaadamu

Watu nchini Zimbabwe wanamudu gharama za mlo mmoja tu kwa siku kutokana na kuporomoka kwa uchumi.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtaji mdogo si kikwazo, iko siku nitafika mbali tu

Shakira Lunjes (30)  mama wa familia ya watoto watatu wa kike  mmoja na wa kiume wawili ni mmoja wa wanawake wenye ndoto za kufika mbali kibiashara licha ya kuwa na mitaji midogo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Msoka: Wanawake wana nafasi kubwa kukuza uchumi

WANAWAKE ndio nguzo kuu katika kukuza uchumi wa nchi kutokana na majukumu wanayofanya kila siku, ingawa kumekuwepo na dhana kwamba wanawake hawana mchango wa kukuza uchumi. Katika kuhakikisha wanawake wanatambulika...

 

9 years ago

Mwananchi

MARION : Mapishi yana nafasi kubwa katika maisha

Marion Elias siyo jina geni kwa watazamaji wa runinga hususan ITV. Licha ya kuwa mwanadada huyu alikuwa akitangaza vipindi kadha wa kadha, lakini nyota yake ilionekana kung’ara zaidi katika Kipindi cha Mapishi.

 

5 years ago

Michuzi

ZITTO ACHUKUA FOMU KUWANIA NAFASI YA UONGOZI ACT WAZALENDO

Na Leandra Gabriel, Michuzi TVMBUNGE wa Kigoma mjini na kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amechukua fomu ya kugombea nafasi ya kutetea kiti cha uongozi wa  Chama cha ACT Wazalendo kwa mhula wa pili na wa mwisho katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwezi Machi mwaka huu.
 
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam mara baada ya  kuchukua fomu hiyo muda mfupi  baada ya kutoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza kesi inayomkabili ambapo katika shauri hilo la uchochezi...

 

11 years ago

Michuzi

WAZAZI WANAYO NAFASI KUBWA KUINUA KIWANGO CHA ELIMU - MKUU WA WILAYA YA CHATO

 Mkuu wa Wilaya ya Chato Mhe. Rodrick Mpogolo amesema wazazi kwa kushirikiana na walimu wanayo nafasi kubwa katika kuhakikisha elimu Wilayani Chato inaboreka. Ameyasema hayo  wakati akifungua kikao cha wadau wa elimu Wilayani Chato kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Halamshauri hiyo.  Mhe. Mpogolo amesema si muda muafaka sasa wa kumwachia mwalimu kuhusu masuala yote ya elimu bali kila mtu hasa mzazi anayo nafasi kubwa ya kuhakikisha mtoto anapata mahitaji yote ya kielimu.  “Maadili...

 

9 years ago

Habarileo

Utafiti: Tanzania iko salama

TAASISI ya Utafiti ya Twaweza imezindua matokeo ya utafiti walioufanya hivi karibuni ukionesha asilimia 88 ya Watanzania wanaiona Tanzania iko salama. Matokeo ya utafiti huo wenye jina ‘Itikadi kali inavuma Tanzania’, yametokana na takwimu za sauti za watu 1,879 zilizopatikana kwa njia ya simu za mkononi kati ya Septemba 2 na Oktoba 11, mwaka huu .

 

11 years ago

Habarileo

Tanzania iko tayari kujiunga na Umoja wa Fedha

Naibu Waziri wa Afrika Mashariki, Dk Abdulla Juma SaadallaTANZANIA iko tayari kuanza mchakato wa kujiunga na hatua ya Umoja wa Fedha wa Afrika Mashariki, ambao ni hatua ya tatu ya kufikia Umoja Kisiasa wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania iko hoi kifedha, asema CAG

Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utoh amesema kuwa Serikali ya Tanzania iko hoi kifedha hivyo Bunge na Serikali lazima wajitathmini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani