Tanzania iko hoi kifedha, asema CAG
Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utoh amesema kuwa Serikali ya Tanzania iko hoi kifedha hivyo Bunge na Serikali lazima wajitathmini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo04 Oct
Shule ya walemavu wa akili hoi kifedha
SHULE ya Msingi Maalumu ya Walemavu wa akili iliyoko katika Kijiji cha Mjimpya Wilayani Tandahimba, Mkoa wa Mtwara inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ukosefu wa fedha za kuendeshea shule hiyo.
10 years ago
Mwananchi22 Apr
Ushindani:CCM iko hai au hoi?
10 years ago
Mwananchi03 Dec
CAG Profesa Assad asema moto ni uleule
9 years ago
Bongo514 Nov
New Music: Layla (The Voice Fairy) — Hoi Hoi
![12237221_1669908713222926_427056748_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12237221_1669908713222926_427056748_n-300x194.jpg)
Wimbo wa msanii anayechipukia, Layla A. Walden aka The Voice Fairy uitwao ‘Hoi Hoi.’ Umetayarishwa kwenye studio za AM Records.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Habarileo18 Dec
Utafiti: Tanzania iko salama
TAASISI ya Utafiti ya Twaweza imezindua matokeo ya utafiti walioufanya hivi karibuni ukionesha asilimia 88 ya Watanzania wanaiona Tanzania iko salama. Matokeo ya utafiti huo wenye jina ‘Itikadi kali inavuma Tanzania’, yametokana na takwimu za sauti za watu 1,879 zilizopatikana kwa njia ya simu za mkononi kati ya Septemba 2 na Oktoba 11, mwaka huu .
11 years ago
Habarileo23 Jun
Tanzania iko tayari kujiunga na Umoja wa Fedha
TANZANIA iko tayari kuanza mchakato wa kujiunga na hatua ya Umoja wa Fedha wa Afrika Mashariki, ambao ni hatua ya tatu ya kufikia Umoja Kisiasa wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EDr-zswlq3PmqBiTHgX-kARe4DzLRJHIh03le5ellHe2xMlpts5JQMToYk*VkSm8BkjtwvU5gn5uu0WXjCKt2nTNLSs0demI/MissTz.gif?width=650)
MISS TANZANIA HOI MAREKANI
10 years ago
Mwananchi15 Mar
Zitto: Iko siku nitashika nafasi kubwa Tanzania