Nafasi za Masomo University of Oldenburg,Germany
Kwa wale wanaohitaji kujiunga na elimu ya juu nchini Ujerumani. Kuanzia B.A,Bsc,M.A mpaka Phd Watanzania tumieni nafasi hizi,chuo kinapokea wanafunzi hata kwa vijana wa Kitanzania walio maliza kidato cha sita wana nafasi ya kujiunga na chuo hiki,maelezo zaidi,Tafadhali wasiliana na anuani hii hapa chini:
International Student Office Carl von Ossietzky Universität Oldenburg Ammerländer Heerstr. 114-118, 26129 Oldenburg Germany Simu :+49-(0)441-798-2479fax : +49(0)441 7982461 Pia fomu za...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo08 Jan
Elimu haina mwisho.. “Nafasi za Masomo China"
Lugha ya kufundishia:
Kiingereza(English) ndio lugha ambayo wanatumia kufundishia, isipokuwa ukihitaji kusoma kwa kichina pia hiyo fursa ipo.
🏤Beijing Insitute of Technology(BiT)
Master's Degree Programs in...
11 years ago
Mwananchi16 Feb
Masomo ya ziada yana nafasi katika maendeleo ya mwanao shuleni
11 years ago
Michuzi06 May
11 years ago
Michuzi04 Mar
10 years ago
Vijimambo02 Apr
TaSUBa yatangazia umma nafasi za kozi kwa mwaka wa masomo 2015 /2016
![timthumb](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/04/timthumb.jpg)
10 years ago
Dewji Blog01 Apr
TaSUBa yatangazia umma nafasi za kozi kwa mwaka wa masomo 2015 /2016
WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO
TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO
(TaSUBa)
TANGAZO LA KUJIUNGA NA CHUO
TaSUBa inawatangazia umma nafasi za kujiunga na kozi kwa ngazi ya Cheti (Certificate) na
Stashahada (Diploma) kwa mwaka wa masomo 2015 /2016
Kozi hizo ni kama ifuatavyo:-
Sanaa za Maonyesho (Performing Arts):-Muziki, Ngoma, Tamthiliya/Maigizo, Sarakasi na Sanaa za Ufundi
Ubunifu na Uzalishaji wa Muziki (Music Design and Production) Picha Jongefu (Media Design and...
11 years ago
Michuzi21 Apr
11 years ago
Michuzi26 Jun
11 years ago
Michuzi01 Mar
1st African Tourism Exhibition in Germany „Soul & Spirit of AFRICA“ 17th - 20th July (4days) Tübingen, Germany
Ladies and Gentlemen,Exhibitors,
It's an honour for me to inform you about the 1st African Tourism tradefair in Germany "Soul and Spirit of Africa " with focused on AFRICA ONLY! This tradefair is initiated and organized by AfrikAktiv org. in cooperation with chamber of commerce and Industry , International African Festival Tübingen and supported by African Ambassadors in Germany, Lord major and city of Tübingen / Reutlingen 1st African Tourism Exhibition tradefair "Soul and Spirit of...