HABARI NJEMA KWA WANAFUNZI WANAKOSA NAFASI KUENDELEA NA MASOMO KIDATO CHA TANO
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi01 Jul
Wanafunzi 18,751 wakosa nafasi kidato cha tano
Wanafunzi 18,751 waliofaulu mtihani wa kidato cha nne mwaka 2014, wamekosa nafasi ya kujiunga na shule za kidato cha tano kwa sababu mbalimbali ikiwamo ufinyu wa nafasi.
10 years ago
PMORALG01 Jul
5 years ago
MichuziWAZIRI JAFO AWATAKA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO KURIPOTI KWA WAKATI
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais- Tamisemi, Selemani Jafo amesema wanafunzi wote wa bweni waliochaguliwa kujiunga na kidato cha Tano kwa mwaka 2020 wanatakiwa kuripoti shuleni Julai 18 mwaka huu na wale wa kutwa kuripoti na kuanza masomo Julai 20.
Waziri Jafo ameyasema hayo wakati akitoa taarifa kuhusu uchaguzi wa wanafunzi wa kujiunga na kidato cha tano, vyuo vya ualimu na vyuo vya ufundi mwaka 2020 mapema leo katika Ofisi za TAMISEMI, Jijini Dodoma.
Amesema wanafunzi ambao hawataripoti wiki...
Waziri Jafo ameyasema hayo wakati akitoa taarifa kuhusu uchaguzi wa wanafunzi wa kujiunga na kidato cha tano, vyuo vya ualimu na vyuo vya ufundi mwaka 2020 mapema leo katika Ofisi za TAMISEMI, Jijini Dodoma.
Amesema wanafunzi ambao hawataripoti wiki...
11 years ago
Michuzi18 Jun
Uchaguzi wa wanafunzi wa kuingia Kidato cha Tano
Uchaguzi wa wanafunzi wa kuingia Kidato cha Tano katika shule za Serikali na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2014 umekamilika. Uchaguzi umefanyika kwa kuzingatia takwimu za matokeo ya watahiniwa waliofanya Mtihani wa Kidato cha Nne Tanzania Bara mwaka 2013.
Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA
10 years ago
Michuzi11 years ago
PMORALG21 Jun
5 years ago
MichuziASILIMIA 90 YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA WAREJEA SHULENI, HAKUNA MAAMBUKIZI YA CORONA KWA WANAFUNZI
Naibu Katibu Mkuu Tamisemi anayeshughulikia Elimu, Gerald Mweli akitoa ripoti ya kurejea shuleni kwa wanafunzi wa kidato cha sita.
NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Gerald Mweli amesema asilimia 90 ya wanafunzi wa kidato cha sita wameripoti shuleni katika halmashauri zote nchini.
Mweli amesema mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya kuwapo kwa maambuziki ya ugonjwa wa Corona kwa wanafunzi wa kidato cha sita walioripoti shuleni.
Akitoa tathimini ya uripotiji wa...
NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Gerald Mweli amesema asilimia 90 ya wanafunzi wa kidato cha sita wameripoti shuleni katika halmashauri zote nchini.
Mweli amesema mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya kuwapo kwa maambuziki ya ugonjwa wa Corona kwa wanafunzi wa kidato cha sita walioripoti shuleni.
Akitoa tathimini ya uripotiji wa...
5 years ago
MichuziWANAFUNZI WAWASILI CHUONI KUENDELEA NA MASOMO
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano Chuo kikuu Mzumbe Bi. Rose Joseph akizungumza na Waandishi wa Habari waliofika Chuoni hapo kuona maandalizi ya mapokezi ya Wanafunzi.
Moja ya matanki yaliyosimikwa katika mazingira ya Chuo kikuu Mzumbe kwa ajili ya Wanafunzi kunawa mikono kabla na baada ya kuingia darasani.
Mkuu wa kituo cha Afya Chuo kikuu Mzumbe Dkt.Paschal Songoro akizungumza na Waandishi wa Habari na kuwaonesha maandalizi ya mazingira ya kuwapokea Wahisiwa wa ugonjwa endapo watatokea
5 years ago
MichuziVodacom Tanzania yawezesha wanafunzi kuendelea na masomo kupitia jukwaa la kidijitali bure.
Wanafunzi wa vyuo mbalimbali nchini kunufaika na utoaji wa elimu bure kupitia jukwaa la kidijitali.Shule za msingi na sekondari kunufaika na upatikanaji bure wa maudhui ya elimu kupitia jukwaa la ‘Vodacom Instant Schools portal’.Kampuni inayoongoza kidijitali nchini ya Vodacom Tanzania PLC inafanya kazi na shule pamoja na taasisi mbalimbali za elimu nchini kutoa huduma ya mafunzo ya dijitali bila gharama yoyote. Taasisi zilizonufaika na huduma hii ni pamoja na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10