Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanafunzi 18,751 wakosa nafasi kidato cha tano

Wanafunzi 18,751 waliofaulu mtihani wa kidato cha nne mwaka 2014, wamekosa nafasi ya kujiunga na shule za kidato cha tano kwa sababu mbalimbali ikiwamo ufinyu wa nafasi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Uchaguzi wa wanafunzi wa kuingia Kidato cha Tano

Uchaguzi wa wanafunzi wa kuingia Kidato cha Tano katika shule za Serikali na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2014 umekamilika. Uchaguzi umefanyika kwa kuzingatia takwimu za matokeo ya watahiniwa waliofanya Mtihani wa Kidato cha Nne Tanzania Bara mwaka 2013.  Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI JAFO AWATAKA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO KURIPOTI KWA WAKATI

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais- Tamisemi, Selemani Jafo amesema wanafunzi wote wa bweni waliochaguliwa kujiunga na kidato cha Tano kwa mwaka 2020 wanatakiwa kuripoti shuleni Julai 18 mwaka huu na wale wa kutwa kuripoti na kuanza masomo Julai 20.

Waziri Jafo ameyasema hayo wakati akitoa taarifa kuhusu uchaguzi wa wanafunzi wa kujiunga na kidato cha tano, vyuo vya ualimu na vyuo vya ufundi mwaka 2020 mapema leo katika Ofisi za TAMISEMI, Jijini Dodoma.

Amesema wanafunzi ambao hawataripoti wiki...

 

5 years ago

Michuzi

ASILIMIA 90 YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA WAREJEA SHULENI, HAKUNA MAAMBUKIZI YA CORONA KWA WANAFUNZI

Naibu Katibu Mkuu Tamisemi anayeshughulikia Elimu, Gerald Mweli akitoa ripoti ya kurejea shuleni kwa wanafunzi wa kidato cha sita.
NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Gerald Mweli amesema asilimia 90 ya wanafunzi wa kidato cha sita wameripoti shuleni katika halmashauri zote nchini.
Mweli amesema mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya kuwapo kwa maambuziki ya ugonjwa wa Corona kwa wanafunzi wa kidato cha sita walioripoti shuleni.
Akitoa tathimini ya uripotiji wa...

 

10 years ago

Habarileo

Asilimia 75 wajiunga kidato cha tano

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI (Elimu), Kassim MajaliwaJUMLA ya wanafunzi 55,003 wakiwemo wasichana 23,303 na wavulana 31,700 sawa na asilimia 74.58 ya waafunzi 73,754 waliostahili kuingia kidato cha Tano Tanzania Bara kwa mwaka 2015 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo vya ufundi kwenye shule za bweni na kutwa.

 

11 years ago

Habarileo

Daraja la 1-3 kwenda kidato cha tano

SERIKALI imesema sifa za mwanafunzi atakayeendelea na masomo ya kidato cha tano kwa mwaka huu ni waliopata daraja la kwanza hadi la tatu pointi 31.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani