Asilimia 75 wajiunga kidato cha tano
JUMLA ya wanafunzi 55,003 wakiwemo wasichana 23,303 na wavulana 31,700 sawa na asilimia 74.58 ya waafunzi 73,754 waliostahili kuingia kidato cha Tano Tanzania Bara kwa mwaka 2015 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo vya ufundi kwenye shule za bweni na kutwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
PMORALG01 Jul
10 years ago
StarTV15 Feb
Asilimia 58.25 ya wanafunzi wafaulu Kidato cha Nne.
Josephine Mwaiswaga,
Dar Es Salaam
Baraza la Mitihani la Taifa NECTA limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2014 ambapo jumla ya watahiniwa 235,227 sawa na asilimia 58.25 wamefaulu.
Kiwango cha ufulu kimeonekana kupanda kwa asilimia 10.08 ikilinganiwa na matokeo ya Mwaka jana.
Ufaulu kati ya wasichana na wavulana haujatofuatiana sana ikilinganishwa na kipindi cha nyumba ambapo kati ya watahiniwa wote 196,805 waliofanya mtihani huo, jumla ya wasichana 89,845 sawa na...
11 years ago
Habarileo15 Apr
Daraja la 1-3 kwenda kidato cha tano
SERIKALI imesema sifa za mwanafunzi atakayeendelea na masomo ya kidato cha tano kwa mwaka huu ni waliopata daraja la kwanza hadi la tatu pointi 31.
11 years ago
Tanzania Daima09 Jul
Waandamana kudai kidato cha tano
WAHITIMU 39 wa kidato cha nne mwaka jana katika Shule ya Sekondari Karobe jijini hapa wakiwa na wazazi wao, jana waliandamana hadi ofisi za Mkuu wa Mkoa ili kujua hatma...
10 years ago
Mwananchi18 Dec
Asilimia 97 wachaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2015
11 years ago
Michuzi18 Jun
Uchaguzi wa wanafunzi wa kuingia Kidato cha Tano
10 years ago
Mwananchi01 Jul
Wanafunzi 18,751 wakosa nafasi kidato cha tano
11 years ago
PMORALG21 Jun
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bZFzlr4os4k/VPR4DrIrjDI/AAAAAAAHHJA/4NS9D_t0osA/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-03-02%2Bat%2B5.41.37%2BPM.png)