Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TaSUBa yatangazia umma nafasi za kozi kwa mwaka wa masomo 2015 /2016

WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO

TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO

(TaSUBa)

 timthumb

TANGAZO LA KUJIUNGA NA CHUO

TaSUBa inawatangazia umma nafasi za kujiunga na kozi kwa ngazi ya Cheti (Certificate) na

Stashahada (Diploma) kwa mwaka wa masomo 2015 /2016

 

Kozi hizo ni kama ifuatavyo:-

Sanaa za Maonyesho (Performing Arts):-

Muziki, Ngoma, Tamthiliya/Maigizo, Sarakasi na Sanaa za Ufundi

Ubunifu na Uzalishaji wa Muziki (Music Design and Production) Picha Jongefu (Media Design and...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TaSUBa yatangazia umma nafasi za kozi kwa mwaka wa masomo 2015 /2016

WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)timthumbTANGAZO LA KUJIUNGA NA CHUOTaSUBa inawatangazia umma nafasi za kujiunga na kozi kwa ngazi ya Cheti (Certificate) naStashahada (Diploma) kwa mwaka wa masomo 2015 /2016 Kozi hizo ni kama ifuatavyo:-Sanaa za Maonyesho (Performing Arts):-Muziki, Ngoma, Tamthiliya/Maigizo, Sarakasi na Sanaa za UfundiUbunifu na Uzalishaji wa Muziki (Music Design and Production)Picha Jongefu (Media Design and Film...

 

10 years ago

Dewji Blog

HESLB yaanza kupokea maombi ya mikopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016

Mkurugenzi Mtendaji - Bw. George Nyatega

Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB – Bw. George Nyatega.

Na Mwandishi Wetu

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) jana (Ijumaa, Mei 1, 2015) imetoa mwongozo kwa wanafunzi wahitaji wanaotarajia kuomba mikopo na ruzuku kwa ajili ya mwaka wa masomo 2015/2016 unaotarajiwa kuanza miezi michache ijayo.

Kwa mujibu wa mwongozo huo, ambao unaanza kupatakikana leo katika tovuti ya Bodi (www.heslb.go.tz), waombaji wote wamepewa takribani miezi miwili kuwasilisha maombi yao kuanzia Jumatatu,...

 

10 years ago

Michuzi

BODI YA MIKOPO YAANZA KUPOKEA MAOMBI YA MIKOPO KUTOKA KWA WANAFUNZI KWA MWAKA WA MASOMO 2015-2016

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo, Bw. George Nyatega
Na Mwandishi Wetu
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo (Ijumaa, Mei 1, 2015) imetoa mwongozo kwa wanafunzi wahitaji wanaotarajia kuomba mikopo na ruzuku kwa ajili ya mwaka wa masomo 2015/2016 unaotarajiwa kuanza miezi michache ijayo.
Kwa mujibu wa mwongozo huo, ambao unapatikana katika tovuti ya Bodi (www.heslb.go.tz), waombaji wote wamepewa takribani miezi miwili kuwasilisha maombi yao kuanzia Jumatatu, Mei 4, 2015...

 

10 years ago

Vijimambo

JKT YATANGAZIA VIJANA WA KUJITOLEA WANAOTAKA KUJIUNGA NA MAFUNZO MWAKA 2015

Vijana wa kiwa wkwenye gwaride wakatiwa mafunzo ya JKT. 
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa, (JKT), Meja Jenerali Raphael Muhuga ametangaza kuwa vijana wote wanaotaka kujiunga na mafunzo ya jeshi la kujenga taifa kwa utaratibu wa kujitolea mwaka 2015, wasidanganyike kwa kupatiwa fomu za kujiunga na mafunzo hayo hivi sasa, na badala yake wafuate utaratibu huu hapa chini.
Bofya hapa

 

10 years ago

Michuzi

MAANDALIZI YA UTOAJI MIKOPO KWA MWAKA WA MASOMO 2014/2015

Mkurugenzi Msaidizi Habari, Elimu na Mawasiliano toka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Bw. Cosmas Mwaisobwa akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya utoaji mikopo kwa mwaka wa masomo 2014/2015, wakati wa mkutano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa. Baadhi ya Waaandishi wa Habari wakimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi Habari, Elimu na Mawasiliano toka Bodi ya Mikopo ya...

 

10 years ago

GPL

WIZARA YA NISHATI NA MADINI YATANGAZA UFADHILI WA MASOMO NCHINI CHINA KWA MWAKA 2015

Msemaji wa Wizara ya Nishati na Madini, Badra Masoud akizungumza na wanahabari.   Msemaji wa Wizara ya Nishati na Madini, Badra Masoud akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu ufadhili wa masomo nchini China kwa mwaka 2015. Kulia ni Ofisa Habari wa Maelezo, Fatma Salum.…

 

10 years ago

Michuzi

Bilioni 3 kutumika mwaka wa masomo 2014 — 2015 kutoka mfuko wa pensheni wa LAPF kwa wanachama wake.

“PIGA KITABU NA LAPF”WANACHAMA WA LAPF KUNUFAIKA NA FAO LA ELIMU
Bilioni 3 kutumika mwaka wa masomo 2014 – 2015 kutoka mfuko wa pensheni wa LAPF kwa wanachama wake.
15 Septemba 2014, Dodoma: Wanachama wa mfuko wa penseni wa LAPF kunufaika na fao jipya lilozinduliwa hivi karibuni nchini kwa Baraka zake Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI Mh. Hawa Ghasia. 
Fao hilo lijulikanalo kama ‘Piga Kitabu na LAPF’ limelenga kuwakopesha wanachama wa LAPF mikopo ya elimu ya juu kwani ni ombi la...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Lowassa aipigia kura ya ndio bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2015/2016

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akijadiliana jambo na Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe wakati wa kupiga kura bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2015/2016, Bungeni mjini Dodoma leo. Kulia ni Mbunge wa Mbunge wa Viti Maalum, Mh. Anna Chilolo.Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akipiga kura ya ndio wakati bunge lilipokuwa likipitisha bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2015/2016, Bungeni mjini Dodoma leo....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani