Madhara ya kuyapa kisogo masomo ya dini shuleni
Wazazi, walimu, viongozi na jamii kwa jumla kila mmoja analia kuhusu kuongezeka kwa mmomonyoko wa maadili nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi16 Feb
Masomo ya ziada yana nafasi katika maendeleo ya mwanao shuleni
10 years ago
Habarileo04 Jul
JK: Wafadhili wameipa kisogo sekta ya maji
TANZANIA imefanikiwa katika sekta mbalimbali kutokana na misaada kutoka Benki ya Dunia, lakini haijafanikiwa katika sekta ya maji kutokana na sekta hiyo kutopewa kipaumbele na wafadhili.
10 years ago
BBCSwahili19 May
Raheem Sterling kuipa kisogo Liverpool?
11 years ago
Mwananchi23 Apr
Man Utd kumpa kisogo Fergie
10 years ago
Bongo Movies08 Dec
RAY: Nikiwa nao wananisifia, nikiwapa kisogo wananisema
VINCENT Kigosi ‘Ray’ amesema kuna baadhi ya watu wakiwamo wasanii, huwa wanawadharau wakongwe walioifanya tasnia hiyo kuwa juu na kuwasema vibaya pindi wanapowapa kisogo.
Ray alisema kuwa baadhi ya wasanii wachanga leo hii wanauza kazi zao na kukaa na wakongwe na kuwasifia lakini wakiwapa kisogo wanawasema vibaya.
“Tasnia hii watu waliisusa ilikuwa ikionekana kama ni kazi ya ziada tu wala si kazi inayomwezesha mtu kuendesha maisha yake, katika hali ngumu tulipigana na kuifikisha hapa,...
10 years ago
VijimamboJAMES KIBOSHO AIPA KISOGO TWANGA, ASAINI MKATABA NA DIAMOND
10 years ago
MichuziVIONGOZI WA DINI WAKEMEA MAOVU YANAYOFANYWA KWA MGONGO WA DINI
Viongozi wa dini za kiislaam na kikristo wamesema dini ni za unyenyekevu na sio za kufanya maovu,ikitokea mtu mmoja katika imani anafanya maovu ni lazima akemewe ndani ya imani yake kwanza.
Wameyasema hayo leo katika kongamano la kujadili madhara ya misimamo mikali ya imani za kidini (Tafkiri) katika jamii na taifa lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa kufungua kongamano hilo Katibu wa Taasisi za...
10 years ago
MichuziMangula awataka viongozi wa dini wasiwapotoshe wananchi kuhusiana na kuwapo kwa masuala ya dini katika katiba pendekezwa
Na Furaha Eliab, Njombe
MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) - Bara, Philip Mangula amesema kuwa viongozi...
10 years ago
GPLWAZIRI MEMBE ATOA RAI KWA VIONGOZI WA DINI ZOTE KUHIMIZA VIJANA WAIPENDE DINI ILI KUDUMISHA AMANI, UTULIVU NA UADILIFU