Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAY: Nikiwa nao wananisifia, nikiwapa kisogo wananisema

VINCENT Kigosi ‘Ray’ amesema kuna baadhi ya watu wakiwamo wasanii, huwa wanawadharau wakongwe walioifanya tasnia hiyo kuwa juu na kuwasema vibaya pindi wanapowapa kisogo.

Ray alisema kuwa baadhi ya wasanii wachanga leo hii wanauza kazi zao na kukaa na wakongwe na kuwasifia lakini wakiwapa kisogo wanawasema vibaya.

“Tasnia hii watu waliisusa ilikuwa ikionekana kama ni kazi ya ziada tu wala si kazi inayomwezesha mtu kuendesha maisha yake, katika hali ngumu tulipigana na kuifikisha hapa,...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MH! ETI RAY, STEVE NYERERE NAO MAPEDESHEE

MIAKA michache iliyopita, nilipata kuwa mdau mkubwa wa muziki wa dansi, nikipatikana katika karibu kumbi zote ambazo bendi kubwa zilifanya mambo yao jijini Dar es Salaam. Huko, nilikutana na watu wengine waliokuwa na ‘wazimu’ zaidi kuliko mimi. Hawa, waliitwa majina ya kutukuzwa na wanamuziki, wengi wao wakitajwa kwenye nyimbo. Ninamkumbuka ‘mshkaji’ Fikiri Madinda, Papaa Chosta, Hussein Makabureta,...

 

11 years ago

GPL

SHILOLE: WANANGU WANANISEMA NIKIANDIKWA VIBAYA

Stori: Gladness Mallya
MSANII wa filamu na muziki, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa kila akiandikwa kwa skendo mbaya, wanaye humsema na kumwambia hawataki kumuona akifanya hivyo tena. Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Akistorisha na gazeti hili, Shilole kutokana na mkwara huo anaoupata kutoka kwa wanaye, Joyce na Rahma, amekuwa akijitahidi kuepukana na skendo mbaya ili asiwakwaze mara kwa mara....

 

11 years ago

Mwananchi

Man Utd kumpa kisogo Fergie

Kocha wa zamani wa Manchester United, Sir Alex Ferguson, atapewa nafasi finyu au asipewe kabisa nafasi tena ya kumchagua mrithi wake baada ya kutimuliwa kwa aliyempendekeza, David Moyes.

 

10 years ago

BBCSwahili

Raheem Sterling kuipa kisogo Liverpool?

Raheem Sterling wa Liverpool anatarajia kumuaga kocha wa klabu hiyo Brendan Rodgers na kuondoka Anfield msimu huu.

 

10 years ago

Habarileo

JK: Wafadhili wameipa kisogo sekta ya maji

Rais Jakaya KikweteTANZANIA imefanikiwa katika sekta mbalimbali kutokana na misaada kutoka Benki ya Dunia, lakini haijafanikiwa katika sekta ya maji kutokana na sekta hiyo kutopewa kipaumbele na wafadhili.

 

11 years ago

Mwananchi

Madhara ya kuyapa kisogo masomo ya dini shuleni

Wazazi, walimu, viongozi na jamii kwa jumla kila mmoja analia kuhusu kuongezeka kwa mmomonyoko wa maadili nchini.

 

10 years ago

Vijimambo

JAMES KIBOSHO AIPA KISOGO TWANGA, ASAINI MKATABA NA DIAMOND

Mpiga Drams wa bendi ya African Stars, Twanga Pepeta, James Kibosho, (pichani kushoto) akisaini mkataba na msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nassib Abdul 'Diamond', kwa ajili ya kuanza kupiga kazi pamoja. Imeelezwa kuwa Kibosho, aliamua kupumzika kutoka kundini Twanga, tangu mwezi uliopita.Credit:SufianiMafoto

 

10 years ago

Bongo Movies

Ray Feki Awatapeli Watu Facebook, Ray Waukweli Atoa Angalizo!

“Wadau na wasanii wote mnaotaka kuigiza msidanganyike na account hii ya Facebook SIYO YANGU NI FAKE.

Maana napata tabu sana Ofisini kwangu watu wanakuja kudai Hela wakisema kuwa Eti Mimi nimetangaza usahili kupitia kwenye account hiyo hapo juu fake Kuwa nahitaji wasanii ni uongo mtupu mnaibiwa pesa zenu na namba anayotumia kuwaibia Watu Hela ni hiii hapa 0779 946440.

Msidanganywe ni matapeli hao Mimi Sijatangaza Chochote kwenye Facebook. Im done hope That You Have All understood...

 

11 years ago

GPL

CHUCHU AJICHORA TATUU YA RAY, RAY AJIBU

Stori: Imelda Mtema
KATIKA hali inayoonesha kuna kitu kikubwa kinakuja mbeleni, msanii wa filamu, Chuchu Hans amejichora ‘tatuu’ inayosomeka kwa jina la Ray huku anayedaiwa kuwa mpenzi wake, Vincent Kigosi ‘Ray’ naye akiwa amejichora tatuu inayosomeka kwa jina la Chuchu. Ray na Chuchu. Picha ambazo gazeti hili limezinasa zinawaonesha wawili hao wakipigia ‘promo’ uhusiano wao huku wadau...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani