Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAMES KIBOSHO AIPA KISOGO TWANGA, ASAINI MKATABA NA DIAMOND

Mpiga Drams wa bendi ya African Stars, Twanga Pepeta, James Kibosho, (pichani kushoto) akisaini mkataba na msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nassib Abdul 'Diamond', kwa ajili ya kuanza kupiga kazi pamoja. Imeelezwa kuwa Kibosho, aliamua kupumzika kutoka kundini Twanga, tangu mwezi uliopita.Credit:SufianiMafoto

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Jordan Henderson asaini mkataba

Kiungo wa Liverpool Jordan Henderson amesaini mkataba mpya na klabu yake wa miaka mitano wenye thamani ya pauni 100,000 kwa wiki.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ramos asaini mkataba mpya

Beki wa klabu ya soka ya Real Madrid Sergio Ramos, amesaini mkataba mpya na timu yake

 

11 years ago

Michuzi

MARCIO MAXIMO ASAINI MKATABA NA YANGA.

Kocha mkuu wa zamani wa timu ya Taifa, taifa Stars Marcio Maximo  amesaini mkataba  wa kuwa kocha mkuu na timu ya Yanga kwa muda wa miaka miwili. makubaliano hayo yamefikiwa jana, wakala  anaye mwakilisha Ally Mleh wa kampuni ya Manyara Sports Management amethibitisha hilo.
"Ni kweli kocha Marcio Maximo amekubali kuingia mkataba na timu ya  Yanga ambapo anatarajiwa kuanza kazi rasmi tarehe 27/06/2014 ambapo  atafuatana na msaidizi wake Leonardo Neiva. Mazungumzo ya makubaliano   hayo...

 

9 years ago

Bongo5

Producer C9 asaini mkataba wa usimamizi na Panamusiq

C9

Producer wa muziki Charles Francis aka C9 ameasini mkataba wa muda mrefu wa usimamizi na kampuni ya Panamusiq Ltd.

C9

Panamusiq wameandika kwenye taarifa kwa vyombo vya habari:

“Panamusiq is pleased to announce the signing of Tanzanian top producer C9 who has entered a long term management contract with the Dar based music company.”

Producer huyo ameungana na wasanii ambao tayari walikuwa wameingia kwenye usimamizi wa kampuni hiyo akiwemo Feza Kessy na Linah.

Ben Pol naye aliwahi kusaini na...

 

9 years ago

BBCSwahili

Cahill asaini mkataba mpya Chelsea

Beki wa kati wa timu ya taifa ya England na klabu ya Chelsea Gary Cahill amesaini mkataba mpya wa miaka minne na klabu yake.

 

9 years ago

Bongo5

Gary Cahill asaini mkataba mpya Chelsea

2EE709EF00000578-3343099-image-a-11_1449077194763

Mchezaji Gary Cahill ambaye ni beki wa kati wa timu ya taifa ya England na klabu ya Chelsea amesaini mkataba mpya wa miaka minne na klabu yake.

2EFF24EB00000578-3343099-image-a-16_1449077333698

Cahil alisajiliwa mwaka 2012 akitokea timu ya Bolton, kwa dau la pauni milioni 7.

Mkataba wa sasa wa beki huyo kisiki ulikua umalizike mwishoni mwa msimu huu wa ligi, baada ya kusaini mkataba mpya Cahill alisema, “nimefanikiwa zaidi nikiwa hapa nitaendelea kujifunza, na kuisaidia timu yangu katika kutwaa mataji katika miaka minne ijayo.”

Katika...

 

9 years ago

Bongo5

T.I. asaini mkataba mnono na Warner Bros Television

Kampuni ya Warner Bros Television imemsainisha mkataba rapper T.I. Kupitia mkataba huo, studio hizo zitatengeneza series mpya kwaajili ya rapper huyo na pia kumuingiza kwenye miradi mingine inayoendelea. Kwenye televisheni, T.I. amewahi kuigiza kwenye tamthilia ya House Of Lies ya Showtime na Boss ya Starz. Hivi karibuni alimaliza kutayarisha msimu wa tano wa reality show […]

 

9 years ago

Bongo5

De Gea asaini mkataba mpya Manchester United

David de Gea baada ya kuona ndoto zake za kuhamia klabu ya Real Madrid zimekwama baada ya siku ya mwisho ya uhamisho amemua kukubali tu ya ishe na sasa amesaini mkataba wa miaka minne Manchester United. David de Gea akiwasili katika uwanja wa mazoezi wa Manchester United Mlinda mlango, 24, alifanya mazungumzo baada ya uhamisho […]

 

11 years ago

GPL

ARSENE WENGER ASAINI MKATABA WA MIAKA 3 KUBAKI ARSENAL

Arsene Wenger ameongeza miaka mitatu Arsenal. KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger ameongeza mkataba wa miaka mitatu kubaki klabuni hapo. Atakuwa Arsenal mpaka mwaka 2017 kwa mkataba wa pauni milioni 24 sawa na bilioni 66.9 za Tanzania. Wenger baada ya kutwaa Kombe la FA. Kocha huyo aliyetwaa Kombe la FA baada ya ukame wa makombe kwa miaka tisa, amepatiwa pauni milioni 100 kwa ajili ya usajili. Wenger mwenye miaka 64,… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani