Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ARSENE WENGER ASAINI MKATABA WA MIAKA 3 KUBAKI ARSENAL

Arsene Wenger ameongeza miaka mitatu Arsenal. KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger ameongeza mkataba wa miaka mitatu kubaki klabuni hapo. Atakuwa Arsenal mpaka mwaka 2017 kwa mkataba wa pauni milioni 24 sawa na bilioni 66.9 za Tanzania. Wenger baada ya kutwaa Kombe la FA. Kocha huyo aliyetwaa Kombe la FA baada ya ukame wa makombe kwa miaka tisa, amepatiwa pauni milioni 100 kwa ajili ya usajili. Wenger mwenye miaka 64,… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wenger asaini miaka 3 Arsenal

England. Kocha Arsene Wenger amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu utakaomfanya kuendelea kuwa kocha wa klabu ya Arsenal hadi 2017.

 

9 years ago

Mtanzania

Arsene Wenger atakiwa kuondoka Arsenal

WENGERLONDON, ENGLAND

BAADA ya Arsenal kupokea kichapo kwenye Uwanja wa nyumbani wa Emirates, katika michuano ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Olympiakos, mashabiki wa klabu hiyo wamemtaka kocha wao, Arsene Wenger kuachia ngazi.

Katika mchezo huo ambao ulipigwa mwanzoni mwa wiki hii, Arsenal ilikubali kichapo cha mabao 3-2 na kuifanya klabu hiyo kushika nafasi ya mwisho katika kundi F ikiwa haina hata pointi na wakitarajia kukutana na Bayern Munich katika mchezo wao wa tatu.

Mashabiki wa Arsenal...

 

11 years ago

BBCSwahili

Arsene Wenger aongezwa muda Arsenal

Ametia saini mkataba wa miaka miwili kama meneja wa klabu hiyo hadi mwaka 2017.

 

9 years ago

Bongo5

Arsene Wenger adai Walcott ndiye tegemeo la Arsenal

Michuano ya vilabu bingwa Ulaya inaanza September 15 ambapo klabu ya Arsenal inaanza kwa kukabiliana na Dinamo Zagreb katika uwanja wa Stadio Maksimir siku ya Jumatano. Kocha wa timu hiyo Arsene Wenger amekuwa akikosolewa kwa kushindwa kununua mshambuliaji mpya, lakini anasema kuwa anakiamini kikosi chake na kwamba Theo Walcott ndio jibu la safu yake ya […]

 

5 years ago

Daily Mail

Arsene Wenger introduced 'tablets' at Arsenal and sent stars to a 'Yoda' in France, says Ian Wright

Arsene Wenger introduced 'tablets' at Arsenal and sent stars to a 'Yoda' in France, says Ian Wright  Daily MailFive lessons Mikel Arteta must learn from Arsene Wenger to return Arsenal to glory  Football.LondonIan Wright's brilliant story of how rollerblading hobby ended Arsenal career  Daily StarView Full coverage on Google News

 

5 years ago

GIVEMESPORT

Arsenal fans are joking that Arsene Wenger was responsible for Manchester City's European ban

Arsenal fans are joking that Arsene Wenger was responsible for Manchester City's European ban  GIVEMESPORTOpinion: Juventus to Manchester United – Possible landing spots for Pep Guardiola when he leaves Man City  CaughtOffsideGuardiola ready for Juventus challenge - Allardyce  Goal.comManchester City has already informed and spoken to players about UEFA Ban  Bitter and BlueChelsea & Manchester City Eye Summer Move for Everton's Lucas Digne  90minView Full coverage on Google...

 

9 years ago

MillardAyo

Huyu ndio staa ambaye Arsene Wenger anatajwa kukamilisha usajili wake wa kujiunga na Arsenal …

Baada ya dirisha dogo la usajili kwa Ligi Kuu soka Tanzania bara kufungwa December 15, barani Ulaya ndio stori za usajili zinazidi kuchukua nafasi. December 31 stori kutoka mtandao wa 101greatgoals.com unaripoti klabu ya Arsenal ya Uingereza imekamilisha mipango ya usajili ya Mohamed Elneny. Dirisha dogo la usajili kwa nchi za Ulaya linafunguliwa January 1 klabu […]

The post Huyu ndio staa ambaye Arsene Wenger anatajwa kukamilisha usajili wake wa kujiunga na Arsenal … appeared first on...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kocha Arsene Wenger akasirika baada ya kugundua Harry Kane aliruhusiwa kutoka katika Academy ya Arsenal

ArseneWenger_large

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger.

Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane

Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane.

Na Rabi Hume

Kocha wa Arsenal, Mfaransa Arsene Wenger amesema alikasirika kidogo baada ya kugundua mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane aliruhusiwa kutoka katika kituo cha kukuzia vipaji (academy) ya Arsenal na kuhamia academy ya wapinzani wao wakubwa klabu ya Tottenham.

Wenger amezungumzia habari hiyo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuelekea mchezo wa ligi kuu ya Wingereza kesho jumapili...

 

10 years ago

Michuzi

MAYANJA ATUA TANGA, ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUIFUNDISHA COASTAL UNION

MABINGWA wa Ligi kuu soka Tanzania bara mwaka 1988,Coastal Union,Wagosi wa Kaya imeingia mkataba wa miaka miwili na aliyekuwa Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Jackson Mayanja ambaye ni raia wa Uganda kuifundisha timu ya Coastal Union katika msimu ujao wa Ligi kuu soka Tanzania Bara itakayoanza Mwezi Agosti mwaka huu . Utiliaji wa saini wa Kocha huyo ulifanyika leo  mjiniTanga  na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa timu ya Coastal Union akiwemo Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Albert Peter na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani