Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


De Gea asaini mkataba mpya Manchester United

David de Gea baada ya kuona ndoto zake za kuhamia klabu ya Real Madrid zimekwama baada ya siku ya mwisho ya uhamisho amemua kukubali tu ya ishe na sasa amesaini mkataba wa miaka minne Manchester United. David de Gea akiwasili katika uwanja wa mazoezi wa Manchester United Mlinda mlango, 24, alifanya mazungumzo baada ya uhamisho […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

De Gea kuihama Manchester United?

Kipa wa Manchester United David de Gea amewaambia wachezaji wenzake katika kilabu hiyo ya Old Trafford kwamba anataka kuihama kilabu hiyo na kujiunga na Real Madrid.

 

10 years ago

Africanjam.Com

MANENO YA 'DAVID DE GEA' YALIYOWACHOMA MASHABIKI WA MANCHESTER UNITED

       Habari ambazo mashabiki wa Manchester United wamekuwa wakihofia kuzipata hivi karibuni hatimaye zimekuwa kweli baada ya kipa namba moja wa klabu iyo Mhispania David De Gea kuiambia klabu hiyo kuwa anataka kuhamia Real Madrid .      De Gea kupitia wakala wake ameiarifu United kuwa dhamira yake ni kujiunga na Madrid na amefikia uamuzi huo baada ya kipindi kirefu cha kuwaza na kuamua ni hatua ipi bora ya kufuata kwenye mustakabali wake.
      De Gea amekaa na United kwa muda wa miaka...

 

10 years ago

Africanjam.Com

MANCHESTER UNITED TRANSFERS: DAVID DE GEA WANTS HIS FUTURE SORTED NEXT WEEK


David De Gea wants his future sorted before he has to return to Manchester United next week.De Gea said his goodbyes to some staff at Old Trafford at the end of last season and does not want the embarrassment of having to face them again with his move to Real Madrid still up in the air.
The Spanish goalkeeper is due back next week - along with United’s other internationals who were involved in Euro 2016 qualifying action earlier this month - for the start of pre-season training.Louis van...

 

9 years ago

Africanjam.Com

MANCHESTER UNITED BOOST AS DAVID DE GEA TELLS SPAIN MANAGER HE IS READY TO RETURN TO ACTION

David de Gea has declared himself ready to play after his botched move to Real Madrid, Spain coach Vincente del Bosque has revealed.De Gea hasn’t featured for Manchester United this season after Louis van Gaal claimed the doubts about his future had caused the goalkeeper to lose focus.He was on the bench for Spain during their 2-0 win over Slovakia on Saturday.
But he’s in line to start against Macedonia on Tuesday after the 24-year-old, whose move to the Bernabeu collapsed last week, assured...

 

10 years ago

Africanjam.Com

TRANSFER NEWS: LOUIS VAN GAAL TELLS MANCHESTER UNITED BOARD TO SELL DAVID DE GEA


Louis van Gaal has reportedly told the Manchester United board to sell David De Gea.The 24-year-old goalkeeper has his heart set on a move to Real Madrid but negotiations between the two clubs have shuddered to a halt.
De Gea has just one year remaining on his deal at Old Trafford and the two clubs are some way apart in their valuation of him.But Spanish newspaper AS say that Van Gaal has resigned himself to losing his No.1, and has told the club's board to sell him this summer rather than...

 

9 years ago

BBCSwahili

Ramos asaini mkataba mpya

Beki wa klabu ya soka ya Real Madrid Sergio Ramos, amesaini mkataba mpya na timu yake

 

9 years ago

BBCSwahili

Cahill asaini mkataba mpya Chelsea

Beki wa kati wa timu ya taifa ya England na klabu ya Chelsea Gary Cahill amesaini mkataba mpya wa miaka minne na klabu yake.

 

9 years ago

Bongo5

Gary Cahill asaini mkataba mpya Chelsea

2EE709EF00000578-3343099-image-a-11_1449077194763

Mchezaji Gary Cahill ambaye ni beki wa kati wa timu ya taifa ya England na klabu ya Chelsea amesaini mkataba mpya wa miaka minne na klabu yake.

2EFF24EB00000578-3343099-image-a-16_1449077333698

Cahil alisajiliwa mwaka 2012 akitokea timu ya Bolton, kwa dau la pauni milioni 7.

Mkataba wa sasa wa beki huyo kisiki ulikua umalizike mwishoni mwa msimu huu wa ligi, baada ya kusaini mkataba mpya Cahill alisema, “nimefanikiwa zaidi nikiwa hapa nitaendelea kujifunza, na kuisaidia timu yangu katika kutwaa mataji katika miaka minne ijayo.”

Katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani