MANENO YA 'DAVID DE GEA' YALIYOWACHOMA MASHABIKI WA MANCHESTER UNITED
Habari ambazo mashabiki wa Manchester United wamekuwa wakihofia kuzipata hivi karibuni hatimaye zimekuwa kweli baada ya kipa namba moja wa klabu iyo Mhispania David De Gea kuiambia klabu hiyo kuwa anataka kuhamia Real Madrid . De Gea kupitia wakala wake ameiarifu United kuwa dhamira yake ni kujiunga na Madrid na amefikia uamuzi huo baada ya kipindi kirefu cha kuwaza na kuamua ni hatua ipi bora ya kufuata kwenye mustakabali wake.
De Gea amekaa na United kwa muda wa miaka...
africanjam.com