Unaweza kuigiza sokwe? Kuna kazi
Je, ungependa kujiunga na mwigizaji mashuhuri Andy Serkis katika kuigiza filamu mpya ya msururu wa filamu za Planet of the Apes?
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo508 Jul
Bila kazi ya ziada ukitegemea muziki unaweza kuumbuka town — Stereo
10 years ago
CloudsFM23 Jan
SHAMSA FORD:FILAMU YA ‘I HATE MY WIFE’ ILIKUWA NI NGUMU SANA KWANGU KUIGIZA,KWA SABABU YA KUIGIZA KICHAWI.
Msanii wa filamu za Kibongo,Shemsa Ford amefunguka kati ya filamu iliyompa wakati mgumu wakiwa ‘’location’ ni filamu ya I hate my wife kwani aliigiza kama mke mchawi anayemroga mumewe.
’Yaani kati ya filamu iliyonipa wakati mgumu kuigiza ni wakati naigiza filamu ya I hate my wife kutokana na kuigiza kama mchawi mshabiki walijua kuwa ndiyo tabia yangu lakini pia kuvaa uhusika wa kiuchawi ni ngumu sana’’alisema Shemsa Ford.
10 years ago
Raia Tanzania27 Jul
‘Kuna kazi ya ziada katika elimu’
MVUTANO na mijadala inayohusu ubora wa sera ya elimu na mitaala ya kufundishia imekuwepo kwa muda mrefu nchini, elimu ya sekondari imeguswa sana kutokana na umuhimu wake.
Inaaminika mwanafunzi ili awe na uelewa mzuri atakapofika chuo kikuu lazima awe na msingi zmuri wa elimu ya sekondari, hiyo ndio siri ya kutiliwa mkazo kwa ngazi hiyo ya elimu.
Hata hivyo, ufaulu ni moja ya changamoto inayoumiza vichwa vya wadau wa elimu, ndio sababu ya kuibuka mjadala wa mfumo upi utumike katika...
11 years ago
Mwananchi21 Apr
Hongereni Azam FC, lakini mbele kuna kazi
9 years ago
Mwananchi26 Dec
Wasanii mnajua kuna tatizo la ajira, mnaheshimu kazi zenu?
10 years ago
BBCSwahili01 Oct
Sokwe wabunifu wa Uganda
11 years ago
BBCSwahili18 Apr
10 years ago
BBCSwahili10 Jun
Sokwe ni walevi Hodari :Utafiti