Sokwe wabunifu wa Uganda
Sokwe wamanaswa kwa video wakitengeza kifaa cha kunywa maji kwa kutumia majani
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili18 Apr
10 years ago
BBCSwahili10 Jun
Sokwe ni walevi Hodari :Utafiti
Watafiti waliokuwa wakiwachunguza sokwe nchini Guinea kwa miak 17 wamegundua kuwa wanyama hao wamezoea kukwea minazi na kubugia mvinyo
9 years ago
BBCSwahili24 Nov
Unaweza kuigiza sokwe? Kuna kazi
Je, ungependa kujiunga na mwigizaji mashuhuri Andy Serkis katika kuigiza filamu mpya ya msururu wa filamu za Planet of the Apes?
10 years ago
BBCSwahili05 Dec
Wataka Sokwe apewe haki za kibinadamu
Sokwe hawana haki sawa na binadamu na wala sio lazima wanyama hao kuachiwa huru na wale wanaowafuga. Hii ni kwa mujibu wa uamuzi wa mahakama nchini Marekani.
11 years ago
BBCSwahili04 Jul
Watafiti watafsiri lugha wanayotumia Sokwe
Watafiti wanasema kuwa wameweza kutafsiri maana ya ishara za mawasiliano zinazotumiwa na Sokwe wanaoishi msituni
10 years ago
BBCSwahili03 Jun
Sokwe hawajambo kwa upishi wa vyakula
Sokwe ni mnyama ambaye anasemekana kuwa makini katika shughuli kama wanavyofanya binadamu, mathalani upishi.
11 years ago
BBCSwahili01 Jul
Sokwe Rwanda kupewa majina leo!
Sherehe za kuwapa majina Sokwe wa milimani zinatarajiwa kufanyika nchini Rwanda kwa minajili ya kuhifadhi viumbe hao adimu duniani
10 years ago
BBCSwahili01 Oct
Sokwe wagundua kifaa cha kunywa maji
Watafiti wamegundua kifaa kipya kinachotumiwa na idadi kubwa ya masokwe kunywa maji .
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania