Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wataka Sokwe apewe haki za kibinadamu

Sokwe hawana haki sawa na binadamu na wala sio lazima wanyama hao kuachiwa huru na wale wanaowafuga. Hii ni kwa mujibu wa uamuzi wa mahakama nchini Marekani.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

IS ilikiuka haki za kibinadamu Syria

Umoja wa mataifa umeishtumu kundi la wapiganaji wa Islamic State kwa kukiuka haki za kibinadamu nchini Syria

 

11 years ago

Habarileo

Wataka Katiba iwe na haki za watetezi wa haki za binadamu

MTANDAO wa watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), wamewaomba Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, kuingiza katika rasimu ya Katiba mpya suala la ulinzi na haki za watetezi wa haki za binadamu, wakiwemo waandishi wa habari.

 

10 years ago

Dewji Blog

Tume ya Haki za binadamu, UNESCO wataka jamii kutambua haki za watu wenye Albinism nchini

XXKamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Dkt. Kevin Lothal Mandopi  akielezea namna ya tume hiyo ilivyo mstari wa mbele kuelimisha Umma dhidi ya vitendo na ukatili kwa watu wenye Ualbinism nchini kwa wadau na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam mapema leo Juni 13.2015.

Na Andrew Chale, modewjiblog

Tume ya Haki za binadamu na Utawala bora  nchini,  leo Juni 13,2015, imeungana na watanzania wote kuadhimisha siku ya Kimataifa ya uelimishaji umma kuhusu Ualbino...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI SIMBACHAWENE APIGA MARUFUKU POLISI KUKAMATA WANANCHI, BODABODA BILA KUFUATA UTARATIBU, AAGIZA KILA OPERESHENI MKUU WA WILAYA APEWE TAARIFA, ASISITIZA UCHAGUZI MKUU WA HURU NA HAKI 2020

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza katika Kikoa cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa, wakati alipofika Wilayani humo kwa ziara ya kikazi. Simbachawene amepiga marufuku ukamataji wa wananchi, bodaboda pamoja na kufanya operesheni ya aina yoyote kwa kukurupuka bila kufuata utaratibu, hali inayoweza kusababisha uvunjifu wa amani badala ya kujenga amani.. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George...

 

11 years ago

Habarileo

Wajumbe wataka haki za wanaume

WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, wamependekeza suala la Haki za Wanaume liongezwe kwenye Rasimu ya Katiba Mpya. Mapendekezo hayo yametokana na majadiliano yaliyofanywa kwenye Kamati Namba Tisa ya Bunge hilo, wakati ikijadili ibara mbalimbali za Sura ya Pili na ya Tatu ya Rasimu ya Katiba ya Jaji Joseph Warioba.

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA wataka Polisi kutenda haki

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimelitaka Jeshi la Polisi mkoani hapa kutenda haki kwa vyama vyote vya siasa katika kudhibiti misafara mirefu ya magari, pikipiki na aina yoyote ya...

 

9 years ago

Habarileo

Haki za binamu wataka kuisaidia ZEC

TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imesema iko tayari kushirikiana na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), kuchunguza tuhuma zilizotajwa na tume hiyo kuchangia kuvuruga uchaguzi na kuzitafutia ufumbuzi ili kulinda haki za binadamu na misngi ya utawala bora.

 

11 years ago

Mwananchi

Wataka haki za binadamu ziingizwe kwenye Katiba

>Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wameombwa kusaidia kuingizwa katika Rasimu ya Katiba Mpya, ulinzi na haki za watetezi wa haki za binadamu wakiwepo wanahabari nchini.

 

11 years ago

Mtanzania

Wajumbe wataka haki za wanaume Katiba mpya

Mwenyekiti wa Kamati namba tisa (9) ya Bunge Maalum la Katiba, Kidawa Hamid Salehe.

Mwenyekiti wa Kamati namba tisa (9) ya Bunge Maalum la Katiba, Kidawa Hamid Salehe.

NA DEBORA SANJA, DODOMA

KAMATI namba tisa ya Bunge Maalumu la Katiba, imesema kuna haja ya kuongeza ibara mpya katika sura ya nne ya Rasimu ya Katiba itakayozungumzia haki za wanaume.

Mbali na hilo, wajumbe wa Bunge hilo walitaka Katiba ieleze Tanzania inaongozwa na itikadi gani kati ya ujamaa na ubepari.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Mwenyekiti wa kamati hiyo, Kidawa Hamis Salehe,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani