Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Haki za binamu wataka kuisaidia ZEC

TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imesema iko tayari kushirikiana na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), kuchunguza tuhuma zilizotajwa na tume hiyo kuchangia kuvuruga uchaguzi na kuzitafutia ufumbuzi ili kulinda haki za binadamu na misngi ya utawala bora.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wataka Katiba iwe na haki za watetezi wa haki za binadamu

MTANDAO wa watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), wamewaomba Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, kuingiza katika rasimu ya Katiba mpya suala la ulinzi na haki za watetezi wa haki za binadamu, wakiwemo waandishi wa habari.

 

10 years ago

Dewji Blog

Tume ya Haki za binadamu, UNESCO wataka jamii kutambua haki za watu wenye Albinism nchini

XXKamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Dkt. Kevin Lothal Mandopi  akielezea namna ya tume hiyo ilivyo mstari wa mbele kuelimisha Umma dhidi ya vitendo na ukatili kwa watu wenye Ualbinism nchini kwa wadau na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam mapema leo Juni 13.2015.

Na Andrew Chale, modewjiblog

Tume ya Haki za binadamu na Utawala bora  nchini,  leo Juni 13,2015, imeungana na watanzania wote kuadhimisha siku ya Kimataifa ya uelimishaji umma kuhusu Ualbino...

 

9 years ago

Michuzi

Ushauri wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa ZEC

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Tom Nyanduga akiongea na waandishi wa habari (hawako pichani) leo mchana makao makuu ya ofisi za Tume, mtaa wa Barack Obama jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Habarileo

Wajumbe wataka haki za wanaume

WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, wamependekeza suala la Haki za Wanaume liongezwe kwenye Rasimu ya Katiba Mpya. Mapendekezo hayo yametokana na majadiliano yaliyofanywa kwenye Kamati Namba Tisa ya Bunge hilo, wakati ikijadili ibara mbalimbali za Sura ya Pili na ya Tatu ya Rasimu ya Katiba ya Jaji Joseph Warioba.

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA wataka Polisi kutenda haki

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimelitaka Jeshi la Polisi mkoani hapa kutenda haki kwa vyama vyote vya siasa katika kudhibiti misafara mirefu ya magari, pikipiki na aina yoyote ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wataka Sokwe apewe haki za kibinadamu

Sokwe hawana haki sawa na binadamu na wala sio lazima wanyama hao kuachiwa huru na wale wanaowafuga. Hii ni kwa mujibu wa uamuzi wa mahakama nchini Marekani.

 

11 years ago

Mwananchi

Wataka haki za binadamu ziingizwe kwenye Katiba

>Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wameombwa kusaidia kuingizwa katika Rasimu ya Katiba Mpya, ulinzi na haki za watetezi wa haki za binadamu wakiwepo wanahabari nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

Wataka Katiba itambue haki ya kuhifadhi maiti

Tukio la kutupwa kwa viungo vya binadamu jijini Dar es Salaam limewagusa baadhi ya wajumbe wa Bunge la Katiba ambao sasa wamependekeza Katiba mpya itambue haki ya kuhifadhi maiti.

 

11 years ago

Mtanzania

Wajumbe wataka haki za wanaume Katiba mpya

Mwenyekiti wa Kamati namba tisa (9) ya Bunge Maalum la Katiba, Kidawa Hamid Salehe.

Mwenyekiti wa Kamati namba tisa (9) ya Bunge Maalum la Katiba, Kidawa Hamid Salehe.

NA DEBORA SANJA, DODOMA

KAMATI namba tisa ya Bunge Maalumu la Katiba, imesema kuna haja ya kuongeza ibara mpya katika sura ya nne ya Rasimu ya Katiba itakayozungumzia haki za wanaume.

Mbali na hilo, wajumbe wa Bunge hilo walitaka Katiba ieleze Tanzania inaongozwa na itikadi gani kati ya ujamaa na ubepari.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Mwenyekiti wa kamati hiyo, Kidawa Hamis Salehe,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani