Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sokwe wanaotunzwa kifalme Kenya

Je Umewahi kupata au kusikia Sokwe mtu wanaotunzwa kifalme?

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Balozi seif atembelea Wazee wanaotunzwa katika Nyumba za Serikali za Welezo na Sebleni

Na Othman Khamis Ame, OMPRMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuwa na wajibu na jukumu kubwa la kuwatunza na kuwathamini wazee wasiojiweza hivi sasa kutokana na mchango wao mkubwa walioutoa kwa nchi hii wakati wa kulitumikia Taifa lao. Alisema mchango wa wazee hao umekuwa ukiendelea kutumiwa na wananchi walio wengi hapa nchini ikiwemo kigezo cha amani na utulivu kinachotokana na juhudi za wazee hao wakati wa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Sokwe wabunifu wa Uganda

Sokwe wamanaswa kwa video wakitengeza kifaa cha kunywa maji kwa kutumia majani

 

10 years ago

BBCSwahili

Mchezaji avunja kanuni za kifalme

Mchezaji wa mpira wa vikapu LeBron James alivunja protokali au kanuni za maadili ya kifalme alipomshika mabegani Kate Middleton akiwa na majasho kwenye jezi lake

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete aagwa kifalme Uholanzi

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete jana aliagwa kifalme katika ziara yake ya kikazi nchini Uholanzi, huku akielezea kwa kiasi kikubwa mafanikio ya utawala wake katika miaka kumi aliyokaa madarakani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Sokwe ni walevi Hodari :Utafiti

Watafiti waliokuwa wakiwachunguza sokwe nchini Guinea kwa miak 17 wamegundua kuwa wanyama hao wamezoea kukwea minazi na kubugia mvinyo

 

11 years ago

Habarileo

Walimu kuishi kifalme Kigoma

KATIKA utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Halmashauri ya Wilaya Kigoma, imeamua kuwapokea walimu wapya 430, kwa mbinu ya pekee ili wabaki katika vituo vyao vya kazi. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Kigoma, Miriam Mbaga, alitangaza mbinu hizo jana wakati alipozungumza kwenye kikao cha maandalizi ya mapokezi hayo.

 

10 years ago

GPL

DIAMOND APOKELEWA KIFALME JIJINI DAR

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea nchini Marekani alipotwaa tuzo tatu za Afrimma. Diamond akiwa na tuzo zake akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) muda mfupi baada ya kutua uwanja wa ndege. Diamond akianza safari ya…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kijiwe chapendekeza kaya iwe ya kifalme

BAADA ya kushuhudia wanene wakishindana kurithisha vitegemezi vyao maulaji, Kijiwe kimekuja na pendekezo moja la kuwasaidia wasionekane wanafiki na waongo. Kinapendekeza tubadili Katiba na kutangaza kuwa kaya hii ni ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani