Walimu kuishi kifalme Kigoma
KATIKA utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Halmashauri ya Wilaya Kigoma, imeamua kuwapokea walimu wapya 430, kwa mbinu ya pekee ili wabaki katika vituo vyao vya kazi. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Kigoma, Miriam Mbaga, alitangaza mbinu hizo jana wakati alipozungumza kwenye kikao cha maandalizi ya mapokezi hayo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo21 Dec
Utoro wa walimu, wanafunzi wakwamisha BRN Kigoma
WAKATI Serikali ikiwa katika utekelezaji wa Matokeo Makubwa Sasa huku sekta ya elimu ikiwa ni moja ya sekta sita zinazotekeleza mpango huo imeelezwa kuwa utoro wa walimu na wanafunzi umeufanya mkoa Kigoma kushindwa kufikia malengo ya utekelezaji wa mpango huo.
11 years ago
BBCSwahili18 Apr
10 years ago
Habarileo09 Jun
Kikwete aagwa kifalme Uholanzi
RAIS Jakaya Kikwete jana aliagwa kifalme katika ziara yake ya kikazi nchini Uholanzi, huku akielezea kwa kiasi kikubwa mafanikio ya utawala wake katika miaka kumi aliyokaa madarakani.
10 years ago
BBCSwahili10 Dec
Mchezaji avunja kanuni za kifalme
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/yhCsS*vRHKg7pgM9fY-VPcxAxjqqdorke7b*w5vmF8dHp1ErHDN854oyE4sjhSwjcGaJeiKjuOlrbnMK8HND3brekC9-pE*h/sitt.jpg)
ALIYEIPONZA MISS TZ APOKEWA KIFALME MORO
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/Diamond-platinumz-3.jpg)
DIAMOND APOKELEWA KIFALME JIJINI DAR
11 years ago
Tanzania Daima12 Mar
Kijiwe chapendekeza kaya iwe ya kifalme
BAADA ya kushuhudia wanene wakishindana kurithisha vitegemezi vyao maulaji, Kijiwe kimekuja na pendekezo moja la kuwasaidia wasionekane wanafiki na waongo. Kinapendekeza tubadili Katiba na kutangaza kuwa kaya hii ni ya...
10 years ago
Tanzania Daima26 Oct
Museveni aruka kihunzi cha utawala wa kifalme
AGOSTI 28 mwaka huu rais wa Uganda Yoweri Museveni alimteua Muhoozi Kainerugaba ambaye ni mwanawe kuwa Brigedia Jenerali na mkuu wa kikosi maalum cha kijeshi nchini humo. Uteuzi wa Brigedia ...
11 years ago
Tanzania Daima15 May
Fid Q, Young Killer kupokewa kifalme Mwanza
WASANII wa muziki wa hip hop wanaowakilisha Mwanza ‘Rock City’, Farid Kubanda ‘Fid Q’ na Erick Msodoki ‘Young Killer’, wanatarajiwa kupokelewa kifalme mkoani humo baada ya kuchukua tuzo za muziki...