Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Museveni aruka kihunzi cha utawala wa kifalme

AGOSTI  28 mwaka huu rais wa Uganda Yoweri Museveni alimteua Muhoozi Kainerugaba  ambaye ni mwanawe kuwa Brigedia Jenerali na mkuu wa kikosi maalum cha kijeshi nchini humo. Uteuzi wa Brigedia ...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kihunzi kingine cha Katiba inayopendekezwa

Katiba inayopendekezwa itakutana na kihunzi kingine katika utekelezwaji wake kutokana na Zanzibar kutakiwa kubadili Katiba yake, zikiwamo ibara zilizobeba msingi wa mabadiliko ya 10 katika Katiba ya Zanzibar.

 

10 years ago

BBCSwahili

Taifa Queens itaruka kihunzi Namibia?

Chama cha netball Tanzania kimesema timu ya Taifa Queens,itafanya vyema katika michuano ya Afrika,nchini Namibia June 28.

 

10 years ago

GPL

MAMA ARUKA KWENYE BAISKELI, AGONGWA, AFA!

Kaka wa marehemu(Sarah Joseph ), Tabu Joseph Ihuya akisimulia mkasa huo. Stori: Mashaka Kisusi, Mwanza/Ijumaa Wikienda
Majonzi! Mama mmoja mkazi wa Kijiji cha Lubuga wilayani Misungwi mkoani hapa, Sarah Joseph (22), amegongwa na lori lenye namba za usajili T 115 AVE lililokuwa likitokea Mwanza kwenda Dar kisha kufa papohapo baada ya kuruka kutoka kwenye baiskeli. Tukio lilitokea hivi karibuni wilayani humo ambapo Sarah...

 

10 years ago

GPL

MWANAMKE ARUKA UKUTA, AIBA MASHUKA NA DEKI

Dunstan Shekidele
Mwanamke aliyefahamika kwa jina la Asha Saidi, hivi karibuni alikiona cha moto baada ya kufumwa akiiba mashuka na deki kwenye nyumba ya jirani yake.Tukio hilo lilitokea mtaa wa Mawenzi ambao mama huyu anaishi, inadawa aliruka ukuta na kukutwa na mama mwenye nyumba anayeitwa Zainabu akifanya uhalifu huo. Asha Saidi akiwa na Deki aliyodaiwa kuiiba. Ilidaiwa kuwa baada ya Zainabu kushuhudia tukio hili alipiga...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwakibinga aruka kimanga kutoa siri za TFF kwa Ndumbaro

Ofisa Mtendaji wa Bodi ya Ligi (TPLB), Silas Mwakibinga ameondolewa kwenye wadhifa wake huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani