Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA ARUKA KWENYE BAISKELI, AGONGWA, AFA!

Kaka wa marehemu(Sarah Joseph ), Tabu Joseph Ihuya akisimulia mkasa huo. Stori: Mashaka Kisusi, Mwanza/Ijumaa Wikienda
Majonzi! Mama mmoja mkazi wa Kijiji cha Lubuga wilayani Misungwi mkoani hapa, Sarah Joseph (22), amegongwa na lori lenye namba za usajili T 115 AVE lililokuwa likitokea Mwanza kwenda Dar kisha kufa papohapo baada ya kuruka kutoka kwenye baiskeli. Tukio lilitokea hivi karibuni wilayani humo ambapo Sarah...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mwanamume agongwa na treni, afa

MWANAMUME anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka kati ya 25 hadi 30, amefariki dunia baada ya kugongwa na treni, eneo la Mabibo Muleba, Dar es Salaam. Kamanda wa Polisi wa...

 

11 years ago

GPL

AFUMWA NA MCHUMBA'KE, AKIMBIA, AGONGWA, AFA

Na Dustan Shekidele, Morogoro
DUNIA ina mambo! Fundi wa magari mkoani Morogoro, Julius Mavella maarufu kama Papa Mavella, Machi 5 mwaka huu, majira ya saa saba usiku, alifariki dunia baada ya pikipiki aliyokuwa akiendesha, kugongana na nyingine, wakati akimkimbia mchumba’ke baada ya kuwa amefumwa akijirusha katika Klabu ya Itigi, iliyopo Msamvu inayodaiwa kutumiwa na machangudoa. Julius Mavella (kulia) akisakata muziki...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Afa akiendesha baiskeli

WATU wawili wamefariki dunia juzi jijini Dar es Salaam katika matukio mawili tofauti akiwemo mwanamume aliyetambuliwa kwa jina la  Mashaka Mkani aliyefariki dunia akiwa anaendesha baiskeli. Kamanda wa Polisi wa...

 

11 years ago

Michuzi

BAISKELI MKOMBOZI WA USAFIRI KWA AKINA MAMA WENGI WA NZEGA MKOANI TABORA.

Akinana Mama wa Nzega wakiwa na usafiri wao wa baiskeli wakienda kwenye shughuli zao,kama waoenekanavyo pichani mara baada ya kunaswa na Globu ya Jamii wilayani humo.Akina mama wengi wilayani humo hutumia chombo hicho (baiskeli) kama sehemu yao ya usafiri.

 

10 years ago

Habarileo

Alipukiwa na bomu kwenye gari, afa

KIJANA Juma Rashid anayesadikiwa kuwa na umri kati ya 21 na 23 amekufa baada ya kujeruhiwa vibaya na kitu kinachodhaniwa kuwa ni bomu kilicholipuka ndani ya gari na kumkata kiganja cha mkono, mguu na tumbo, huku watu wengine watatu waliokuwa ndani ya gari hilo nao wakijeruhiwa.

 

11 years ago

Habarileo

Mtoto afa kwenye sufuria ya chai

MTOTO mwenye umri wa mwaka mmoja, wilayani Bunda katika Mkoa wa Mara, amekufa baada ya kutumbukia kwenye sufuria ya chai iliyokuwa jikoni.

 

9 years ago

Dewji Blog

Yaliyojiri kwenye msafara wa waendesha Baiskeli kutoka Mbeya kwenda jijini Dar

Rais wa Chama cha Waendesha Baiskeli Tanzania, Godfrey Jacks Muhagama, ambaye pia ni miongoni mwa waendesha baiskeli kwenye msafara huo ulioanzia Mbeya akitoa maelezo ya namna shughuli hiyo ilivyofanikiwa.

Mwakilishi wa Norwegian Church Aid nchini Tanzania, Tale Hungnes akiwapongeza waendesha baiskeli mara baada ya kufika Dar es Salaam wakitokea kwenye mpaka wa Malawi na Tanzania, Kasumulo Mbeya.

 

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dr. Rashid Rutengwe akisaini madai ya haki ili kuweka imani...

 

9 years ago

Michuzi

YALIYOJIRI KWENYE MSAFARA WA WAENDESHA BAISKELI KUTOKA MBEYA KWENDA JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Chama cha Waendesha Baiskeli Tanzania, Godfrey Jacks Muhagama, ambaye pia ni miongoni mwa waendesha baiskeli kwenye msafara huo ulioanzia Mbeya akitoa maelezo ya namna shughuli hiyo ilivyofanikiwa.Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dr. Rashid Rutengwe akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya waendesha baiskeli na viongozi wa msafara huo.Msafara wa waendesha baiskeli ukiingia kwenye mji wa Ilula Mkoani IringaEsther Joshua ambaye ni mwanamke pekee kwenye msafara wa kuendesha baiskeli kutoka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani