MWANAMKE ARUKA UKUTA, AIBA MASHUKA NA DEKI
![](http://api.ning.com:80/files/Gk-Khs5Ug5O7Ak9FRkDXaIn9Havgm54FmRPii0BbO9vBudke8QfEeiq7eIz4fN7XuzTViW7Nl0lZrmG7C-aZorQ9Fk3wLH*Z/Mwanamke.jpg?width=650)
Dunstan Shekidele Mwanamke aliyefahamika kwa jina la Asha Saidi, hivi karibuni alikiona cha moto baada ya kufumwa akiiba mashuka na deki kwenye nyumba ya jirani yake.Tukio hilo lilitokea mtaa wa Mawenzi ambao mama huyu anaishi, inadawa aliruka ukuta na kukutwa na mama mwenye nyumba anayeitwa Zainabu akifanya uhalifu huo. Asha Saidi akiwa na Deki aliyodaiwa kuiiba. Ilidaiwa kuwa baada ya Zainabu kushuhudia tukio hili alipiga...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo19 Apr
Polisi mwanamke aiba mtoto, anaswa
OFISA wa Jeshi la Polisi nchini, anashikiliwa na jeshi hilo mkoani Mbeya akituhumiwa kuiba mtoto mchanga mwenye umri wa siku saba.
9 years ago
StarTV16 Nov
Wagonjwa vituo vya afya Tanga kutumia mashuka yao kutokana na uhaba wa mashuka
Uhaba wa mashuka katika vituo vya afya mkoani Tanga umesababisha baadhi ya wagonjwa kutumia mashuka yao binafsi jambo ambalo halikubaliki kiafya.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mwantumu Mahiza amekiri kuwepo kwa tatizo hilo ambalo limekuwa likisababisha usumbufu kwa wagonjwa wanaohudumiwa katika vituo hivyo.
Mahiza amesema hayo wakati akipokea msaada wa mashuka kutoka Mfuko wa Bima ya Afya NHIF kwa ajili ya kukabiliana na tatizo hilo katika mkoa wa Tanga.
Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga inajumla ya...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/PkzReZzWbvY/default.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima26 Oct
Museveni aruka kihunzi cha utawala wa kifalme
AGOSTI 28 mwaka huu rais wa Uganda Yoweri Museveni alimteua Muhoozi Kainerugaba ambaye ni mwanawe kuwa Brigedia Jenerali na mkuu wa kikosi maalum cha kijeshi nchini humo. Uteuzi wa Brigedia ...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uFCQvH3jdgAy4Y6w0x8F*BqAnerBwsXA1pO5OeXyrmpbWHsacXHWegnS5iIOkEC7FgZfY1jro4r0wMklYsQKleGeW7AXYQA0/TabuJosephIhuyaambayenikakawamarehemu.jpg?width=650)
MAMA ARUKA KWENYE BAISKELI, AGONGWA, AFA!
10 years ago
Mwananchi04 Nov
Mwakibinga aruka kimanga kutoa siri za TFF kwa Ndumbaro
10 years ago
Habarileo06 Oct
'Hausigeli' aiba milioni 2.6/-
MSICHANA anayefanya kazi za ndani katika mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, anadaiwa kuiba Sh milioni 2.6 mali ya mwajiri wake.
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
Imamu aiba nguruwe
KATIKA hali isiyo ya kawaida, aliyekuwa Imamu wa Msikiti wa Kisesa uliopo Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza, Salum Yusuph, amenusurika kuuawa na wananchi wenye hasira baada ya kukamatwa akiwa ameiba...