Kihunzi kingine cha Katiba inayopendekezwa
Katiba inayopendekezwa itakutana na kihunzi kingine katika utekelezwaji wake kutokana na Zanzibar kutakiwa kubadili Katiba yake, zikiwamo ibara zilizobeba msingi wa mabadiliko ya 10 katika Katiba ya Zanzibar.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLKATIBA INAYOPENDEKEZWA NI KIVULI CHA ‘KATIBA YA NYERERE’
Tundu Lisu. UKITAKA kuwaudhi Watanzania wengi – wasomi na wajinga, wafupi na warefu, walevi na wasiotumia vileo – unachotakiwa kufanya ni kutaja makosa aliyoyafanya Rais wa Kwanza wa Tanzania, Julius Kambarage Nyerere akiwa madarakani. Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki, katika mijadala ya kuweka mambo sawa kitaifa, aliposema: “Nyerere hakuwa Mungu†akimaanisha yaliyofanywa na kusemwa...
10 years ago
Vijimambo18 Oct
MAAZIMIO YA KAMATI KUU YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA NA KURA YA MAONI KUHUSU KATIBA INAYOPENDEKEZWA
Dar es Salaam, Oktoba 16, 2014
UTANGULIZI
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imekutana katika kikao chake cha kawaida na kujadili, pamoja na mambo mengine, mchakato wa Katiba Mpya. Kamati Kuu imepata taarifa ya kina juu ya mchakato ulivyoendeshwa katika hatua mbali mbali wakati wa kutungwa kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba na marekebisho yake na, baadaye, Sheria ya Kura ya Maoni.
Aidha, Kamati Kuu imepata taarifa ya mchakato ulivyokuwa katika hatua ya kuundwa kwa Tume...
UTANGULIZI
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imekutana katika kikao chake cha kawaida na kujadili, pamoja na mambo mengine, mchakato wa Katiba Mpya. Kamati Kuu imepata taarifa ya kina juu ya mchakato ulivyoendeshwa katika hatua mbali mbali wakati wa kutungwa kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba na marekebisho yake na, baadaye, Sheria ya Kura ya Maoni.
Aidha, Kamati Kuu imepata taarifa ya mchakato ulivyokuwa katika hatua ya kuundwa kwa Tume...
10 years ago
Tanzania Daima26 Oct
Museveni aruka kihunzi cha utawala wa kifalme
AGOSTI 28 mwaka huu rais wa Uganda Yoweri Museveni alimteua Muhoozi Kainerugaba ambaye ni mwanawe kuwa Brigedia Jenerali na mkuu wa kikosi maalum cha kijeshi nchini humo. Uteuzi wa Brigedia ...
10 years ago
VijimamboKITUO CHA HUDUMA ZA SHERIA ZANZIBAR (ZLSC) WATOA ELIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA WANANCHI ZANZIBAR.
Taswira mbalimbali za kituo cha huduma za sheria9ZLSC) kikitoa elimu ya katiba iliyopendekezwa kwa wananchi Zanzibar.
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Madaraka ya Bunge sasa, katika Rasimu ya Katiba Mpya na Katiba inayopendekezwa
Natambua kwamba bado tuna joto la sakata la “escrow†ambalo hata baada ya Mkuu wa Nchi Rais Jakaya Kikwete kulifafanua na hata kama hujui kusoma upepo kiasi gani utakuwa umegundua na utaungana nami kwamba bado wananchi wamegawika kabisa.
10 years ago
GPLMH. CHENGE AWASILISHA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA
Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba Mhe. Andrew Chenge (kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe. Samuel Sitta (kushoto) Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa wakati wa kikao cha Kamati ya Uongozi cha Bunge hilo. Kamati ya Uandishi imemaliza kazi ya kuandaa Rasimu hiyo na inatarajiwa kusomwa Bungeni siku ya kesho. Makabidhiano yakiendelea.… ...
10 years ago
GPLBUNGE MAALUM LA KATIBA LAPITISHA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta hivi punde ametangaza rasmi kupitisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa baada ya matokeo…
10 years ago
Michuzi10 years ago
Vijimambo30 Sep
Mtandao wa Wanawake na Katiba Kuelimisha Katiba Inayopendekezwa
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Prof. Ruth Meena akizungumza katika Kongamano la Wanaharakati Kujadili masuala muhimu kwenye mchakato wa Katiba Mpya lililofanyika jijini Dar es Salaam. Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Usu Mallya akizungumza katika Kongamano la Wanaharakati Kujadili masuala muhimu kwenye mchakato wa Katiba Mpya lililofanyika jijini Dar es Salaam Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP, Lilian Liundi akizungumza katika Kongamano la Wanaharakati Kujadili masuala...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania