ALIYEIPONZA MISS TZ APOKEWA KIFALME MORO
![](http://api.ning.com/files/yhCsS*vRHKg7pgM9fY-VPcxAxjqqdorke7b*w5vmF8dHp1ErHDN854oyE4sjhSwjcGaJeiKjuOlrbnMK8HND3brekC9-pE*h/sitt.jpg)
Stori Dustan Shekidele, Morogoro/Ijumaa MSHIRIKI wa Shindano la Miss Tanzania mwaka 2014, aliyeshinda taji hilo katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam na baadaye kuthibitika kuwa alighushi umri na hivyo kulitema na kusababisha kufungiwa kwa shindano hilo, Sitti Mtemvu, juzikati alipokewa kama mfalme alipofanya ziara fupi mjini Morogoro. Mshiriki  wa Shindano la… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi30 Aug
JK apokewa kwa mabango Kibaigwa
9 years ago
BBCSwahili23 Sep
Papa awasili Marekani apokewa na Obama
11 years ago
Tanzania Daima12 May
Kinana apokewa kwa mabango Nzega
MSAFARA wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, juzi ulikumbana na wakati mgumu baada ya kupokelewa kwa mabango yanayolaani uamuzi wa serikali ya chama chake kuwaondoa wachimbaji...
11 years ago
Mwananchi02 Jul
TUNAPINGA: Nyalandu apokewa kwa mabango
9 years ago
Bongo504 Dec
Video mpya ya Belle 9 ‘Burger Movie Selfie’ iliyoshutiwa Moro na director wa Moro kutambulishwa Trace Urban wiki Ijayo
![Belle99](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/09/Belle99-300x194.jpg)
Kabla mwaka 2015 haujaisha, Belle 9 amefanikisha kupiga hatua nyingine ya mafanikio ya muziki wake, ambapo wiki ijayo video ya wimbo wake mpya uitwao “Burger Movie Selfie” itaanza kuoneshwa kwa mara ya kwanza na Trace Urban wiki ijayo.
What's up Trace Family! Watch "Burger Movie Selfie" by @bellenine starting next week on @TRACE_Urban channel #325 on @DStv_Kenya
— TRACE East Africa (@TRACEEastAfrica) December 2, 2015
Hii itakuwa ni video ya pili ya Belle 9 kwa mwaka huu na toka ameanza...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-2tXjOI66Wew/VaPCNxBP6iI/AAAAAAAB1QE/JThYS1WXNY0/s72-c/DSC_9050.jpg)
DKT SHEIN APOKEWA ZANZIBAR KWA KISHINDO
![](http://2.bp.blogspot.com/-2tXjOI66Wew/VaPCNxBP6iI/AAAAAAAB1QE/JThYS1WXNY0/s640/DSC_9050.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-1faqzz6gXjY/VaPCO-u_-dI/AAAAAAAB1QI/ARAnalDozrw/s640/DSC_9058.jpg)
11 years ago
BBCSwahili18 Apr
10 years ago
BBCSwahili10 Dec
Mchezaji avunja kanuni za kifalme
11 years ago
Habarileo21 Mar
Walimu kuishi kifalme Kigoma
KATIKA utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Halmashauri ya Wilaya Kigoma, imeamua kuwapokea walimu wapya 430, kwa mbinu ya pekee ili wabaki katika vituo vyao vya kazi. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Kigoma, Miriam Mbaga, alitangaza mbinu hizo jana wakati alipozungumza kwenye kikao cha maandalizi ya mapokezi hayo.