Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Papa awasili Marekani apokewa na Obama

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amewasili nchini Marekani katika siku ya kwanza ya ziara ya kihistoria nchini humo ambapo amelakiwa na Rais wa nchi hiyo Barack Obama.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

PAPA FRANCIS AWASILI WASHINGTON, DC ALAKIWA NA MWENYEJI WAKE RAIS BARACK OBAMA

Rais Barack Obama na familia yake wakielekea uwanjani kwenda kumlaki Papa Francis aliyewasili siku ya Jumanne Septemba 22, 2015 nchini Marekani kwa ziara ya siku nne.Papa Francis na ujumbe wake wakishuka kutoka kwenye ndege iliyomleta Washington, DC uwanja wa ndege wa jeshi wa AFB kwa ziara ya siku nne nchini Marekani.Papa Francis akilakiwa na mwenyeji wake Rais Barack Obama mara tu alipokanyaga ardhi ya Marekani.Papa Francis akisalimiana na Michelle Obama mke wa Rais wa Marekani Mhe. Barack...

 

9 years ago

BBCSwahili

Papa Francis awasili nchini Uganda

Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis amewasili nchini Uganda kwenye sehemu ya pili ya ziara yake Afrika.

 

9 years ago

Habarileo

Papa Francis awasili Kenya kuanza ziara

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amewasili nchini Kenya jana jioni kuanza ziara ya kihistoria ya siku sita barani Afrika. Akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini hapa, alipokewa na mwenyeji wake, Rais Uhuru Kenyatta aliyefuatana na mkewe Margaret pamoja na Naibu Rais, William Ruto pamoja na viongozi mbalimbali wa Kanisa Katoliki nchini humo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Obama kukutana na Papa Francis

Rais wa Marekani ,Barrack Obama anatarajiwa kukutana na kiongozi wa kanisa Katoliki Papa Francis.

 

9 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZZ.....: PAPA FRANCIS AWASILI NCHINI KENYA JIONI HII

Papa Francis akisalimiana na Rais wa Kenya, Mh. Uhuru Kenyatta wakayi alipowasili nchini Kenya leo ambapo atakuwa na ziara ya siku sita katika nchi za Afrika. Kushoto ni Mke wa Rais Kenyatta, Magret Kenyatta.

 

10 years ago

BBCSwahili

Obama awasili Kenya

Rais Barrack Obama wa Marekani, tayari amewasili mjini Nairobi

 

9 years ago

Vijimambo

BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI AKABIDHI HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA.

 Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi akiwa na Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama mara baada ya kukabidhi hati za utambumbulisho (White House). Washington DC. Mhe. Wilson Masilingi   Pamoja na Familia yake wakiwa Katika nyuso za furaha mara baada ya kukabidhi hati za utambulisho  Ikulu ya Marekani(White House).  Kutoka kushoto ni Mtoto wa Balozi ndugu Nelson Masilingi, Rais wa Marekani Barack Obama, Balozi Wilson Masilingi, pamoja na Marystella Masilingi. Mke wa Balozi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Obama awasili Korea Kusini kushauriana

Rais Obama amewasili Korea Kusini huku hofu ikizagaa kwamba Korea Kaskazini yajiandaa jaribio la nne la zana zake za nukyla.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS OBAMA AWASILI NCHINI KENYA

 Rais Barrack Obama wa Marekani, tayari amewasili mjini Nairobi.
Ndege iliyombeba rais obama ilitua katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta muda mfupi baada ya saa mbili za usiku. Alipowasili Rais Obama amelakiwa na mweyeji wake Rais Uhuru Kenyatta. mwendo wa saa mbili na robo rais Obama alitua ndege yake. Alipowasili alizungumza kwa muda mfupi na mwenyeji wake rais Kenyatta na kisha kutia saini kitabu cha wageni kabla ya kuondoka. Obama sasa ameandikisha historia ya kuwa rais wa kwanza wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani