Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Papa Francis awasili Kenya kuanza ziara

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amewasili nchini Kenya jana jioni kuanza ziara ya kihistoria ya siku sita barani Afrika. Akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini hapa, alipokewa na mwenyeji wake, Rais Uhuru Kenyatta aliyefuatana na mkewe Margaret pamoja na Naibu Rais, William Ruto pamoja na viongozi mbalimbali wa Kanisa Katoliki nchini humo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Papa Francis kuanza ziara nchini Sri Lanka.

Papa Francis amewasili nchini Sri Lanka ambako anatarajiwa kusisitiza umhimu wa mazungumzo baina ya makundi mbalimbali ya imani hasimu za kidini nchini humo.

Pia Papa Francis akiwa nchini humo aanatarajiwa kuhimiza ala la maridhiano wakazi walio wengi wa visiwa vya Sinhalese na wale wachache wa kisiwa cha Tamil.

o que fazer viagra para homens

Hii ni ziara ya kwanza kwa Papa Francis kutembelea taifa hilo tangu ziara ya kwanza ya Papa ya mwaka 2009.

Rais wa sasa wa Sri Lanka...

 

9 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZZ.....: PAPA FRANCIS AWASILI NCHINI KENYA JIONI HII

Papa Francis akisalimiana na Rais wa Kenya, Mh. Uhuru Kenyatta wakayi alipowasili nchini Kenya leo ambapo atakuwa na ziara ya siku sita katika nchi za Afrika. Kushoto ni Mke wa Rais Kenyatta, Magret Kenyatta.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ziara ya Papa Francis, Kenya

Serikali ya Kenya imethibitisha kukamilika kwa maandalizi ya kumpokea kiongozi wa kanisa katoliki papa Francis.

 

9 years ago

Mwananchi

Mambo usiyojua kuhusu ziara ya Papa Francis nchini Kenya

Kiongozi wa Katoliki duniani, Papa Francis ni kiongozi wa kwanza wa kanisa hilo kutoka mataifa ya Amerika aliyeko ziarani barani Afrika.

 

9 years ago

BBCSwahili

Papa Francis awasili nchini Uganda

Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis amewasili nchini Uganda kwenye sehemu ya pili ya ziara yake Afrika.

 

9 years ago

Vijimambo

PAPA FRANCIS AWASILI WASHINGTON, DC ALAKIWA NA MWENYEJI WAKE RAIS BARACK OBAMA

Rais Barack Obama na familia yake wakielekea uwanjani kwenda kumlaki Papa Francis aliyewasili siku ya Jumanne Septemba 22, 2015 nchini Marekani kwa ziara ya siku nne.Papa Francis na ujumbe wake wakishuka kutoka kwenye ndege iliyomleta Washington, DC uwanja wa ndege wa jeshi wa AFB kwa ziara ya siku nne nchini Marekani.Papa Francis akilakiwa na mwenyeji wake Rais Barack Obama mara tu alipokanyaga ardhi ya Marekani.Papa Francis akisalimiana na Michelle Obama mke wa Rais wa Marekani Mhe. Barack...

 

9 years ago

BBCSwahili

Maandalizi ya ziara ya Papa Francis

Papa Francis anatarajiwa kuanza ziara yake ya kwanza kabisa barani Afrika Jumatano Novemba 25.

 

10 years ago

BBCSwahili

Papa Francis awapa pole wa Kenya

Papa atoa mkono wa pole kwa wanafunzi waliouawa nchini Kenya,na kutaka mateso ya wakristo ulimwenguni yakomeshwe.

 

9 years ago

Mwananchi

Kishindo cha Papa Francis Kenya

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis aliyetua Nairobi jana saa 10:45 jioni, leo ‘atajichanganya’ katika moja ya majukumu muhimu wakati akiwa katika siku ya pili ya ziara yake nchini Kenya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani